Je, Rais kuteua wapinzani ni CCM mpya au ndio kubadili gia angani?

KAKA TANZANIA

Member
Sep 19, 2016
65
40
Wakuu,kulingangana nateuzi zilizofatana hivi karibuni,Mh.Rais amekuwa akiteua watendaji wake kutoka upinzani ama kwa watu,ambao tunafahamu sio vindakindaki wa ccm.je ndo ccm mpya ama ni kubadili gia angani,kama wazee wa ufipa?

CC

Lizaboni

Lemutuuz
 
Kinyonga huwa anabadilika rangi yake kulingana na mazingira aliyomo. Ila mimi nimeipenda sana hii kwa sababu inaonekana Roho Mtakatifu yuko busy sana ktk utendaji wake kwani ametudhihirishia aina ya watu tulio nao kama watawala na the so called opposition leaders
 
kabadili gia angani. alisema kule Zenji kuwa hatakaa achague mpinzani kwenye serikali yake.
ndio maana lumumba-buku 7 wamekunja nyuso zao kwenye hili.
 
Kinyonga huwa anabadilika rangi yake kulingana na mazingira aliyomo. Ila mimi nimeipenda sana hii kwa sababu inaonekana Roho Mtakatifu yuko busy sana ktk utendaji wake kwani ametudhihirishia aina ya watu tulio nao kama watawala na the so called opposition leaders

Mkuu hivi 2020, kweli kiongozi ZZK atajiunga na vyama vingine vya upinzani, kwa mtindo huu?
 
Kwanza hajawahi kuchagua wapinzani anachagua mapandikizi yao yalishindwa kazi maalamu iliyowapeleka huko kuua upinzani, baada ya kutimuliwa upinzani wanarejeshwa ccm kwa style hiyo, bado mmoja nadhani atarudishwa ccm kwa kupewa wizara ya nishati na madini.
 
Back
Top Bottom