Zanzibar 2020 Je, Rais Dkt. Magufuli alimkata jina Makame Mbarawa kwa maslahi ya Taifa?

seedfarm

Member
Feb 9, 2020
94
900
Members, kwa jicho la tatu na hotuba ya mheshimiwa Rais Magufuli kwenye mkutano mkuu wa CCM 2020, Hotuba yake ya kutoka kichwani ina mambo mengi sana.

Kuna usemi usemao limjaalo mtu ndio limtokalo, ni dhahiri mifano ya Dkt Magufuli kuwa Rais mstaafu Kikwete aliwakata marafiki zake kwa maslahi ya Taifa na yeye wasimshangae ameiga kwao, Je? Kilichomkuta Prof Mbarawa ni kwa maslahi ya Taifa.

Katika hotuba yake kwenye halmashauri ukuu alieleza kuwa kuna watu wanasema nambeba Prof Mbarawa sasa hayupo kwenye tatu bora,watafute kingine cha kuongea

Watu humuita Magufuli Mkali lakini nyuma ya Pazia aliambiwa akaze mwendo

Kuna mambo mengi ya kujifunza ukali wa Magufuli unatokana na nchi alivyoikuta na alivyokabidhiwa toka kwa wakubwa wake,Je aliambiwa awe mkali sana na yeye amefanya kama alivyokabidhiwa?
 
Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
8,681
2,000
Inaweza kuwa kweli usemacho.

Pia upande mwingine alieleza yale kwa kumuelezea Mwinyi alikuwa mtu wake 2015 lakini alilazimika kumtosa sababu ya usawa wa kijinsia na kupunguza joto flani la yaliyotokea. Otherwise basi Hussein Mwinyi angekuwa running mate wake na kisha vice presidaa wa JMTZ.
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
7,633
2,000
Uji
Inaweza kuwa kweli usemacho.

Pia upande mwingine alieleza yale kwa kumuelezea Mwinyi alikuwa mtu wake 2015 lakini alilazimika kumtosa sababu ya usawa wa kijinsia na kupunguza joto flani la yaliyotokea. Otherwise basi Hussein Mwinyi angekuwa running mate wake na kisha vice presidaa wa JMTZ.
Ujinga tu wa magamba hauna faida kwa myonge
 
Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
13,689
2,000
Tuliposema hapo mapema kuwa huyu jamaa ni dikteta, watu wa Lumumba walitushukia na kututukana.

Hivi sasa wenyewe wanaccm wanasimulia udikteta wa huyo jamaa, hata hivyo imekuwa "too late" wakati jamaa keshakaza mwendo na kuwaacha wanaccm, wakilia na kusaga meno!
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
35,556
2,000
Na ww unauliza nini na kuna post kubwa ya huo mkutano wa ccm humu humu jukwaani, tena page ya kwanza? Unakuwa kama mgeni wa kutumia mitandao hususan jf?
Nilikuwa speed,,tangu jana sijanusa humu,ngoja nitafute
 
Zawadini

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
1,363
2,000
Natumai JPM atatumia ushawishi wake awamu ijayo kuandaa mazingira kura maoni tuwe nchi moja. Tunavyozidi kuchelewa werevu na uchumi ukiboreka tutawapoteza Wazanzibari na himaya yetu.
Wenyewe tumekusikia. Tamaa ya fisi. Nisalimie kibwengomfupi
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
29,048
2,000
Members, kwa jicho la tatu na hotuba ya mheshimiwa Rais Magufuli kwenye mkutano mkuu wa CCM 2020, Hotuba yake ya kutoka kichwani ina mambo mengi sana.

Kuna usemi usemao limjaalo mtu ndio limtokalo, ni dhahiri mifano ya Dkt Magufuli kuwa Rais mstaafu Kikwete aliwakata marafiki zake kwa maslahi ya Taifa na yeye wasimshangae ameiga kwao, Je? Kilichomkuta Prof Mbarawa ni kwa maslahi ya Taifa.

Katika hotuba yake kwenye halmashauri ukuu alieleza kuwa kuna watu wanasema nambeba Prof Mbarawa sasa hayupo kwenye tatu bora,watafute kingine cha kuongea

Watu humuita Magufuli Mkali lakini nyuma ya Pazia aliambiwa akaze mwendo

Kuna mambo mengi ya kujifunza ukali wa Magufuli unatokana na nchi alivyoikuta na alivyokabidhiwa toka kwa wakubwa wake,Je aliambiwa awe mkali sana na yeye amefanya kama alivyokabidhiwa?
Binafsi naamini mbarawa ndio chaguo la jom, kuna uwezekano yeye ndiye alimshauri achukue form ila kura tu hazijatosha. Huyu ndiye atakuja kuwa pendekezo lake atakapotoka yeye na anaTICK all the boxes... muislamu na mzenji....
 
Gobole

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
417
500
Binafsi naamini mbarawa ndio chaguo la jom, kuna uwezekano yeye ndiye alimshauri achukue form ila kura tu hazijatosha. Huyu ndiye atakuja kuwa pendekezo lake atakapotoka yeye na anaTICK all the boxes... muislamu na mzenji....
Nakubaliana na ww...huyu ndie ajae JMT...vibox vimetimia vyote...alimruhusu kugombea ili kupata exposure tu na sio zaidi ya hapo na alijua akimruhusu aingie 3 bora angempa changamoto Mwinyi au ht kuwagawa wajumbe...game well played...tumsubiri 2025
 
mr.London

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
2,782
2,000
Members, kwa jicho la tatu na hotuba ya mheshimiwa Rais Magufuli kwenye mkutano mkuu wa CCM 2020, Hotuba yake ya kutoka kichwani ina mambo mengi sana.

Kuna usemi usemao limjaalo mtu ndio limtokalo, ni dhahiri mifano ya Dkt Magufuli kuwa Rais mstaafu Kikwete aliwakata marafiki zake kwa maslahi ya Taifa na yeye wasimshangae ameiga kwao, Je? Kilichomkuta Prof Mbarawa ni kwa maslahi ya Taifa.

Katika hotuba yake kwenye halmashauri ukuu alieleza kuwa kuna watu wanasema nambeba Prof Mbarawa sasa hayupo kwenye tatu bora,watafute kingine cha kuongea

Watu humuita Magufuli Mkali lakini nyuma ya Pazia aliambiwa akaze mwendo

Kuna mambo mengi ya kujifunza ukali wa Magufuli unatokana na nchi alivyoikuta na alivyokabidhiwa toka kwa wakubwa wake,Je aliambiwa awe mkali sana na yeye amefanya kama alivyokabidhiwa?
Angekuwa kwenye 3 bora likely kungekuwa na confusion kwenye kura wengi wangemchagua mbarawa na wengi wangemchagua mwinyi hivyo kungekuwa na possibility japo kura 1 au 2 angezidiwa mwinyi.

Jamaa zangu wa Zanzibar kura zao 35 zilienda kwa Dr. Khalid na Shamsi sasa hazikufua dafu inabidi waukubali tu msalaba na muendelezo wa kuchaguliwa rais kutoka Tanganyika.
 
Kinjeketile

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
706
1,000
Nakubaliana na ww...huyu ndie ajae JMT...vibox vimetimia vyote...alimruhusu kugombea ili kupata exposure tu na sio zaidi ya hapo na alijua akimruhusu aingie 3 bora angempa changamoto Mwinyi au ht kuwagawa wajumbe...game well played...tumsubiri 2025
Munajidanganya tu,huyo Mbarawa huko kwao hata la uchaguzi kijijini kwao hashindi alafu utegemee kushi da Uraisi wa Zanzibar/JMT.

Huyo vinamfaa viti maalumu vya Mhe Raisi basi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom