Je! Rais anaweza kuvunja bunge bila bila kupoteza urais wake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je! Rais anaweza kuvunja bunge bila bila kupoteza urais wake?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by RIZIKI JUMATATU, Feb 7, 2012.

 1. R

  RIZIKI JUMATATU Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wadau naomba msaada wenu kuhusu huu uvumi wa Rais kutakakuvunja bunge.Je anauwezo wa kikatiba wa kufanya hivyo wakati wote wamechaguliwa na wananchi? na anaweza kufanya hivyo bila yeye kupoteza nafasi yake?
   
 2. kalukamise

  kalukamise JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 688
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  i did not mean to pass here....later on...duh!!!!
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hayo yote yanawezekana kwa mujibu wa katiba ya sasa. Pia Bunge linaweza kumshitaki Rais ndani ya Bunge na kumvua Urais wake na wabunge wakaendela kupeta.
   
Loading...