Je, Rais akisema 'Mkeka wa Ma DC ' upo tayari kutoka ' Ufanisi ' wa Kiutendaji kwa waliopo Ofisini unaongezeka au unashuka?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,862
Hivi Mchezaji aliyeko Uwanjani tena katika Mechi ngumu na anajitahidi akiona Kocha Mkuu kamuamsha Mchezaji wa namba anayocheza Yeye anaimarika Kiuchezaji au Kisaikolojia ndiyo anaathirika na kujikuta anaharibu kabisa na Kuigharimu Timu?

Maoni yenu yatasomwa nae Muunguja.
 
Haituhusu, ufanisi wao haujawahi kusaidia mtu! Hata wakikaa home Hakuna shida!
 
Watumbuliwaji watarajiwa washajaa taharuki. Inafaa mchakato ukamilishwe upesi
 
Haituhusu, ufanisi wao haujawahi kusaidia mtu! Hata wakikaa home Hakuna shida!
SHIDA NI KWAMBA HUJAWAHI KUONA NINI KITATOKEA KAMA HAO WATU HAWAPO NA HAKUNA WA KUFANYA WANACHOKIFANYA. Ni sawa na mtu anayekata BIMA ya gari halfu hajawahi pata ajali inayowahusisha watu wa BIMA. Huwa haoni sababu ya kulipia BIMA
 
Who cares
 
Back
Top Bottom