Je, Raia wa Tanzania anaweza kuikataa Mahakamani Sheria Iliyopitishwa na Wabunge?

MtuHabari

JF-Expert Member
Oct 16, 2020
321
1,019
Nimeuliza maana mie na wenzangu tunataka kutafuta wanasheria tufungue kesi mahakama kuu kupinga sheria hizi zilizopitishwa na bunge letu tokea kikao cha Januari hadi sasa.

Sababu ya msingi ya kuwa zimepitishwa ndani ya bunge ambalo lina wabunge ambao baadhi yao wapo kinyume na katiba na wanaendelea kuwepo kwa kiburi cha Spika huku mwanasheria mkuu wa serikali akiangalia na kuogopa kusema jambo kama vile Bunge ni chombo binafsi cha bwana Ndugai.

Msaada tafadhali!
 
Mama ni makini haijawahi tokea
hawezi ingilia mihili mikuu
Sasa wenye nchi badala ya kukaa kifala na kumuangalia Ndugai anachezea katiba tuzikatae sheria zilizopitishwa na wabunge haramu kuwa nazo ni haramu
 
Back
Top Bottom