Je Rafiki Yako Akiwa Gynaecologist Utaruhusu Amtibu Mke Wako?

Kaldinali

JF-Expert Member
May 25, 2012
263
144
Wakuu

Hivi kama wewe ni mwanaume na una rafiki yako ambae ni daktari wa kina mama gynaecologist utaruhusu awe daktari wa mke wako?
 
Mie binafsi sikubali kutibiwa na family member ama rafiki wa karibu. Its actually unethical, labda malari na kuhara tu.
 
Mgonjwa hachagui dawa wala daktari. Mnadengua hivi kabla hayajawakuta. Yakiwakuta huna cha nini wala nini bali anakutibu tu.
 
Wakuu

Hivi kama wewe ni mwanaume na una rafiki yako ambae ni daktari wa kina
mama gynaecologist utaruhusu awe daktari wa mke wako?
Kuna situation una uchaguzi ... hapo fanya utakalo. Taka usitake kuna nyakati ATATIBIWA naye tu ..hakuna uchaguzi .. mkuu any hard feelings?
 
How far huyo doctor anamtibu mke wangu?
Rafiki yangu akiona maungo ya mke wangu nadhani heshima yake kwangu itatetereka.
 
Honestly please ... naomba niambie kwanini ni unethical!?

kuna siku ilitokea dr mmoja akawa anamfanyia.oeration mtoto ambae ni wa rafiki yake mpenzi n aliwasimamia ndoa na kumsimamia huyo mtoto ubatizo. Asubuhi akiwasili dr akaambiwa mtoto alidokoa kiazi asubuhi. Dr akamjibu mama usijali tutachelewesha operation. Yule mtoto alifariki kwa uzembe huo. Ilikuwa patashika, manake mama wa mtoto aliona dr alimfanyia makusudi (kwa sababu mama alimuambia kuhusu kula. Na dr alifanya kwa kumuhurumia mama.kulala another day hospitali bure kungojea operation. Wasingefahamiana wala asingejali.kuahirisha hivyo, sio?)

fikiria tension iliyopo kati ya familia hizi mbili. Tena wanaume mko understanding, mwanamke na mwanae ujue bifu litakuwa hadi kwa wajukuu! Unaharibu undugu na urafiki jumla.

Nimehisi mfano utaelewa zaidi. Lakini ni unethical kwa dr kumtibia mtu wake wa karibu. Umenielewa solution?
 
Last edited by a moderator:
Well, binafsi pia niko shy na napenda privacy yangu. So hata kama nina shida ya nyonyo tu siwezi kutibiwa na rafiki wa mume ama ndugu. Japo niliwahi kutibiwa na rafiki wa kakangu na walikuwa hawajaonana for 15 years? Na najua hakuna kitakachotukutanisha tena wote watatu.
 
Mie binafsi sikubali kutibiwa na family member ama rafiki wa karibu. Its actually unethical, labda malari na kuhara tu.

WEWE UNA MATATIZO GANI? NA WAWEZA KUTA ATA UYO DR ANAMPIGA MASHINE VILEVILE, PIA WADHANI ATA KM MKEO ANAKUWA AMEJISETILI MDA WOTE WAHISI TUTAMCHULIA KANA KWAMBA HANA MASHINE APO MBELE? IYO MASHINE ANAYO NA KILA MWEZI INABLID MIDAMU, CHOO ANAENDA NA MAKIMBA KIBAO ANAK***NYA, USIWE NA WASI YOTE AYO YAKO BAYANa, NYIE NDO MNAWAANIMISHA WATOTO KUWA MWANAMKE ANAENDA KUCHUKUA MTOTO HOSPITALI NA HAZAI THRU V****NA, KWENDA ZAKO NA MAMBO YAKO YA KIZAMANI
 
Ni vizuri kutochanganya kazi, urafiki na hata mawazo yako mabaya. Kazi yoyote hata kama ni udaktari unao utaratibu wake.
Kazi yake anayoifanya haina uhusiano na urafiki wenu. Ni kufikiria kitoto sana kuwa rafiki yangu akiona ile "nanihii" ya Mke wangu!!!!! Huo ni ujinga.
Hata kama ukimficha rafiki yako kuiona, wanaweza kuwapo wengine pembeni wanaofanya sivyo ndivyo bila huruma.
Mkuu wangu, labda uniambie kuwa kwani ya mkeo ina nini cha ajabu ? Mpelekee Daktari afanye kazi yake mbali na mawazo yako mabaya.
 
kuna siku ilitokea dr mmoja akawa anamfanyia.oeration mtoto ambae ni wa rafiki yake mpenzi n aliwasimamia ndoa na kumsimamia huyo mtoto ubatizo. Asubuhi akiwasili dr akaambiwa mtoto alidokoa kiazi asubuhi. Dr akamjibu mama usijali tutachelewesha operation. Yule mtoto alifariki kwa uzembe huo. Ilikuwa patashika, manake mama wa mtoto aliona dr alimfanyia makusudi (kwa sababu mama alimuambia kuhusu kula. Na dr alifanya kwa kumuhurumia mama.kulala another day hospitali bure kungojea operation. Wasingefahamiana wala asingejali.kuahirisha hivyo, sio?)

fikiria tension iliyopo kati ya familia hizi mbili. Tena wanaume mko understanding, mwanamke na mwanae ujue bifu litakuwa hadi kwa wajukuu! Unaharibu undugu na urafiki jumla.

Nimehisi mfano utaelewa zaidi. Lakini ni unethical kwa dr kumtibia mtu wake wa karibu. Umenielewa solution?

Unajua kiukweli kabisa, nilikuwa anshindwa ku connect hizi dots ... sikuwa naweza kuona kabisa ... lakini nafikiri reasoning yako ina mshiko ... kikubwa nilichoona hapo ni SUBJECTIVITY!! ... Kwa namna fulani Dr anapoteza objectivity kama ni mtu close naye ... anakuwa subjective ... kama hapo amekuwa subjective hadi hata kutoa allowance ya siku moja zaidi etc! My Dad is MD nashaangaa sana hata tukiwa wadogo ... mara nyingi hakuwa anatutibu ... anatupeleka kwa Dr mwingine kabisa ...sikuwa namuelewa, kuwa ukaribu saana una matatizo yake ..and never asked him ... Yeye mwenyewe mara nyingi hajitibu mwenyewe ...(Nafikiri hali kama hizi ndio zinapelekea jambo hili kuwa Unethical sio?)

Well, binafsi pia niko shy na napenda privacy yangu. So hata kama nina shida ya nyonyo tu siwezi kutibiwa na rafiki wa mume ama ndugu. Japo niliwahi kutibiwa na rafiki wa kakangu na walikuwa hawajaonana for 15 years? Na najua hakuna kitakachotukutanisha tena wote watatu.

Hii ni very interesting to ma heart alone ... kwa naman nasoma post zako ehh!!.. sioni kama uko this much shy!!! Lol!! nielewe ... ... Inapendeza!!!
 
WEWE UNA MATATIZO GANI? NA WAWEZA KUTA ATA UYO DR ANAMPIGA MASHINE VILEVILE, PIA WADHANI ATA KM MKEO ANAKUWA AMEJISETILI MDA WOTE WAHISI TUTAMCHULIA KANA KWAMBA HANA MASHINE APO MBELE? IYO MASHINE ANAYO NA KILA MWEZI INABLID MIDAMU, CHOO ANAENDA NA MAKIMBA KIBAO ANAK***NYA, USIWE NA WASI YOTE AYO YAKO BAYANa, NYIE NDO MNAWAANIMISHA WATOTO KUWA MWANAMKE ANAENDA KUCHUKUA MTOTO HOSPITALI NA HAZAI THRU V****NA, KWENDA ZAKO NA MAMBO YAKO YA KIZAMANI

Inapokuwa ni swala la kuwa ni Medical regulation jambo hili kuwa Unethical inabidi kukaa na kutafakari kwa makini kwanini iwe ni hivyo. Sio kwamba ni hoja ya mtu binafsi ... its scientific ... hata Mimi sikuwa naelewa kwa kwa hivyo ... Lakini ukisoma post za wachangiaji mbalimbali utaona why iwe ni Unethical!!!

Ikiwa na maana kila inapowezekana ni vema kabisa na inashuriwa kuwa Mgonjwa asitibiwe na Dr ambaye ni very close naye kama ndugu au kama rafiki nk!! ... Ni ushauri tu ...!!!
 
Wakuu

Hivi kama wewe ni mwanaume na una rafiki yako ambae ni daktari wa kina mama gynecologist utaruhusu awe daktari wa mke wako?

Wana JF,

Kwanza siku hizi kuna gynecologist wa kike na wakiume hilo tulitambue,

sasa nakuja kwa hoja yako ni gynecologist wa kiume ndie unae msemea, Mimi binafsi sitiii shaka wala sina neno maana pale mahali unapo hitaji mkeo atibiwe ili mpate mtoto na rafikio ndie gynecologist anaetegemewa haswa unadhani uta sita au uta kataaaa, ilo liko wazi tu mbona wengi imewakuta include nami. na tukafanikiwa pata mtoto. na uzuri wakati gynecologist ana insert vitu au dawa flani kwa mkeo huwa wanapenda mume uwepo maana siku hizi hukawii ukazushiwa mambo na ma gynecologist wengi hupena mume na mke waende paamoja katika hayo matibabu ya mkeo. Na mume asipo kuja kweli hao gynecologist huwa hawapendi kwani wakina mama wengi huwa ni wazembe kufuatilia mashariti au ushauri wa gynecologist na ndio maana huwa wanapenda mume awepo kwa msisitizo

My Take;
Mki shaurianai ujinga hapa wakati hii ni topic bora sana kwa familia zetu kwani kuna tatizo kubwa sana la kina dada na wakina mama kupata watoto miaka ya hivi sasa na ma gynecologist wako wachache na wa kuhesabu na wa uhakima
.

Unajua kiukweli kabisa, nilikuwa anshindwa ku connect hizi dots ... sikuwa naweza kuona kabisa ... lakini nafikiri reasoning yako ina mshiko ... kikubwa nilichoona hapo ni SUBJECTIVITY!! ... Kwa namna fulani Dr anapoteza objectivity kama ni mtu close naye ... anakuwa subjective ... kama hapo amekuwa subjective hadi hata kutoa allowance ya siku moja zaidi etc! My Dad is MD nashaangaa sana hata tukiwa wadogo ... mara nyingi hakuwa anatutibu ... anatupeleka kwa Dr mwingine kabisa ...sikuwa namuelewa, kuwa ukaribu saana una matatizo yake ..and never asked him ... Yeye mwenyewe mara nyingi hajitibu mwenyewe ...(Nafikiri hali kama hizi ndio zinapelekea jambo hili kuwa Unethical sio?)

Hii ni very interesting to ma heart alone ... kwa naman nasoma post zako ehh!!.. sioni kama uko this much shy!!! Lol!! nielewe ... ... Inapendeza!!!

Kiukweli mimi mwenyewe nikiwa naumwa nachagua pa kwenda kutibiwa kulingana na ugonjwa, hata kama unaharisha huwezi kwenda hospitali unayofahamika sana, kuharisha maana yake umekula poisoned food au dirty food, sembuse umpekleke wife wako akafunue utupu wake kwa jamaa yako? No No
 
Mie binafsi sikubali kutibiwa na family member ama rafiki wa karibu. Its actually unethical, labda malari na kuhara tu.

Kwa emergency baba yangu alimfanyia minor operation dada yangu (binti wake wa kumzaa mwenyewe), tena ni mambo ya uzazi (sijui kumsafisha) nilikuwa mdogo.
 
hapana aisee yaani rafiki/ndugu amcheki mamaa huko downstairs afu badae anakuja nyumbani anakua anawatembelea duuh manake unaweza ukute huyo rafikiyo/ndugu amemcheki mamaa kuliko hata wewe mume unavyomjua....nooo way!!
 
kila mtu ana kazi yake, hata mume hupaswi kumchungulia mkeo sehemu nyeti, ila kuingiza uu...e tu. Na daktari ni kazi yake kuona na kupima sio ku..m..a.
Atakaye fanya dhidi ya hayo anakosea.
Waacheni madokta wawarekebishie ili mfaidi kwa starehe.
 
WEWE UNA MATATIZO GANI? NA WAWEZA KUTA ATA UYO DR ANAMPIGA MASHINE VILEVILE, PIA WADHANI ATA KM MKEO ANAKUWA AMEJISETILI MDA WOTE WAHISI TUTAMCHULIA KANA KWAMBA HANA MASHINE APO MBELE? IYO MASHINE ANAYO NA KILA MWEZI INABLID MIDAMU, CHOO ANAENDA NA MAKIMBA KIBAO ANAK***NYA, USIWE NA WASI YOTE AYO YAKO BAYANa, NYIE NDO MNAWAANIMISHA WATOTO KUWA MWANAMKE ANAENDA KUCHUKUA MTOTO HOSPITALI NA HAZAI THRU V****NA, KWENDA ZAKO NA MAMBO YAKO YA KIZAMANI

hahaha. Haya mkuu, ila hata sie wa kizamani ni watu pia.
 
Uke ni kiungo tuu kama viungo vingine,kutibiwa na daktari yeyote yule ni kawaida tuu. suala la aibu ni parception tuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom