Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,204
- 885
πππππππππππππ mnachekesha sana
Kivipi wanachekesha?.Watu wanamwaga utaalam we unawacheka?.Haya tukusome na wewemnachekesha sana
Mkuu drone hazina spidi kubwa! Pia ni muhimu kujua jinsi rada inavyofanya kazi...Teknolojia inapogunduliwa kuna watu wao kazi yao ni kuiovertake hiyo Teknolojia.Kwa hiyo Teknolojia ya Anga ndio inafanya Rada kufeli.High speed drones pia uwezo wa rada unatakiwa kuwa up to date.Pia anae controll rada anaweza kupitiwa na Usingizi au K-vant inamuathiri.Pia Drone za sasa zina uwezo wa kupiga tokea mbali na rada na kufikisha target yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezo wa spidi ya mwanga!!! Tuwe makini kuchangia..Iran miezi michache nyuma wali fanikiwa ku- intercept drone ya US.iliyosaiwa kufanya ujasusi kwa kuingia anga ya Iran.
Tusubiri hii silaha mpya(supersonic ballistic missile ) iliyozinduliwa juzi na Russia INA speed kuliko mwanga iwapo INA weza ika be detected na radar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali.....umeandika ilivyoHilo swala lipo hivi
Rada zinatambua vilivyo angani kwa kutuma mifumo miwili ambapo mmoja unatuma signal na mwingine unapokea signal hiyo iliyotumwa. (Kama tu mwangi unavyotokea kwa uwapo wa mdomo na masikio) signal hizo zinazotumwa na rada ni radio signal nikimaanisha zinasafiri katika speed inayokaribiana na speed ya mwanga. (Hapa ndipo utaona maana ya technology - kutumia uelewa wa mwangwi kufanyiza kifaa rada kutengenezwa)
Sasa ukitaka kifaa chako kisionekane na rada inabidi kiwe na property mbili muhimu
Moja
Kuwa na radio absobed material. Kwenye surface yake kuvyonza kadiri itakavyoweza radio wave vinazotumwa na rada hivyo kurudisha radio wave chache
Mbili
Kuwa na shape ambayo itaakisi mawimbi ya rada mbali na receiver za rada hivyo rada kutokusikia mawimbi kutoka kwa ndege
Hata hivyo kutokana na mbinu za kivita ndege hizi ambazo hazisomi kwenye rada huwa katika mission zinaambatana na ndege nyingine ambazo kazi yake ni kusoma mawimbi ya rada na kulipua mifumo hiyo kabda haijaweza otea ndege hizi au drone.
bora umwambie..anadhani spidi ya mwanga ni wa chemli!KASOME FIZIKSI YA FOMU WANI KWANZA NDO UKUJE HUKU
Radar zinajamishwa (jammed) au "drones" au ndege yoyote ile inaweza kurushwa ukawa fulani ambapo "radar" hai detect. Au zinaweza kutumika teknolojia za material ambazo radar signals hazi bounce, zinapitiliza, au hurushwa vifaa ambavyo huichanganya mifumo ya radar.
Nakushauri anza kwa kusoma na kuelewa "radar" zinafanyaje kazi kisha soma kuhusu "anti radar" labda utaelewa kinachofanyika.
Hili swali wanaweza kujibu watu kutoka Iran na marekani , Ila hapa kwetu bongo hakuna Mwenye uwezo wakujibu swali hili, wote wanaojibu wanatapanya tapanya tuNaomba kuuliza wataalam wenye uelewa wa kijeshi,inakuwaje Rada za nchi lengwa kwa Drones zinashindwa kugundua mashambulizi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Iran miezi michache nyuma wali fanikiwa ku- intercept drone ya US.iliyosaiwa kufanya ujasusi kwa kuingia anga ya Iran.
Tusubiri hii silaha mpya(supersonic ballistic missile ) iliyozinduliwa juzi na Russia INA speed kuliko mwanga iwapo INA weza ika be detected na radar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili kwa sayansi ya sasa haiwezekani !!!Kama itakuwa zaid ya speed ya mwanga ni hatari sna
bora umwambie..anadhani spidi ya mwanga ni wa chemli!
Nadhani utakuwa umechanganya na speed ya sauti na si mwanga Mkuu. So far hakuna kitu chenye speed Kali kwasasa kuushinda mwanga. Kama vingekuwepo basi binadamu tungekuwa tushazitembelea sayari zote kwenye solar system yetu.Iran miezi michache nyuma wali fanikiwa ku- intercept drone ya US.iliyosaiwa kufanya ujasusi kwa kuingia anga ya Iran.
Tusubiri hii silaha mpya(supersonic ballistic missile ) iliyozinduliwa juzi na Russia INA speed kuliko mwanga iwapo INA weza ika be detected na radar.
Sent using Jamii Forums mobile app
sio kweli kukimbia spidi zaidi ya sound hana maana ya distance.Missile yaweza kimbia zaidi ya sound lakini uwezo wake wa distance ya kupiga ukawa kilomita elfu moja tuHope ni zaidi ya sound sio light mana hiyo silaha ndani ya dk inapiga nyc
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanga una speed kali sana naamini ni ya mwishoIran miezi michache nyuma wali fanikiwa ku- intercept drone ya US.iliyosaiwa kufanya ujasusi kwa kuingia anga ya Iran.
Tusubiri hii silaha mpya(supersonic ballistic missile ) iliyozinduliwa juzi na Russia INA speed kuliko mwanga iwapo INA weza ika be detected na radar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Russia walitangaza Wana silaha inayokwepa kila kikwazo angani na ardhini ,cjawaskia tena ila wamekuja na hiyo speed kuliko mwangaHahahah kweli ujinga ni ugonjwa...eti INA speed kuliko mwanga hahahahahahhahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah
Mwanangu wa darasa la 3 mwenyewe humdanganyi kitoto hivi
Kwasababu Ilikua Nje Yamipaka Ya IRAN.....Anataka kujua ni kwanini drone iliyomuua Gen. Qasem Soleimani haikuonekana kwenye rada za Iran.
Sent using Jamii Forums mobile app