Je ' Pushapu ' ya mwisho ingegoma pale JNIA Termianal 3 na Mtu ' angefloti ' lawama zingeenda kwa nani Kiitifaki?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,383
108,443
Ila tuacheni Utani Jamaa Mr. Alcohol yuko ' Fiti ' nadhani hata Kunishinda Mimi Kijana ( BaruBaru ) GENTAMYCINE na sikuweza kujua kuwa kumbe Mazoezi anayo na huenda akawa anayafanya 24/7. Hongera zake sana kwa hilo. Ila Swali langu ni dogo tu hivi kama ile ' Pushapu ' ya mwisho ambayo nilikuwa naona kama vile inaenda Kumshinda ( Kumdindia ) hivi ingetokea angelala pale pale ( angefloti ) Kosa lingekuwa la nani Kiitifaki?

Na Wewe popote pale ulipo sasa hebu Piga ' Pushapu ' Kumi hapo ulipo umjibu Mr. Alcohol wetu.
 
Angefanya mazoezi 24/7 asingebeba kile ki fridge

Mkuu huwezi amini nilianza Kuogopa sana hasa nilipomuona akiwa anaanza Kuishiwa nguvu hasa ile ' Pushapu ' ya mwisho huku akiwa kama vile anataka Kumuita Kassim aje amuinue ila ghafla alijiinua mwenyewe na hatimaye akaamka na Mimi huku nikasema Mungu Mkubwa. Hata hivyo alivyoenda Kuketi nilimuona kwa mbaali kama vile akimuambia Kassim kuwa leo ningeumbuka Mwanangu huku akimuonyesha ' Nakozi ' zake na kuonekana yupo vizuri mno Kimazoezi.
 
Kwakweli anahitaji mshauri wa mazoezi na chakula. Kumbuka kuwa walimu wanafundishwa mazoezi ya viungo
 
Hili ni Jukwaa la Utani na Watanzania tunapenda Utani hivyo kama Wewe unaona Uzi unakuchukiza umelazimishwa na nani Kuufungua? Tafadhali kama huwa mnakuwa na ' Stress ' zenu za Kimaisha acheni kuja kuzimalizia kwa Members hapa Jamvini JF bali pambaneni tu na hali zenu.

Japo Wewe umesema ni Upuuzi ila nina uhakika hata Mlengwa mwenyewe akiusoma huu Uzi atacheka tu na wala hatokasirika kwani anajua kuwa Utani ni jambo jema na linaongeza mno Afya hasa pale Mtu akicheka ( akifurahi ) lakini pia Utani unaongeza Urafiki na Uchangamfu baina ya Watu.

Nimekudharau kuliko Maelezo.
 
Back
Top Bottom