Je, PSPF wanaruhusu mstaafu kusaidiwa kuhakikiwa kama akiwa mgonjwa?

wakikosi

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
1,354
1,483
Habari za asubuhi waungwana. Mzee wangu ni mstafu lakini amekuwa mgonjwa kwa miezi kadhaa sasa na kwa hali yake hawezi kusafiri kwenda mkoani kuhakikiwa.

Mwezi huu wa 3 ametumiwa ujumbe kuwa aende kwenye ofisi za PSPF za mkoa wake ili kuhakikiwa.

Je, mimi mtoto wake nikienda na vitambulisho vyake vya kustafu wanaweza kumsaidia kumuhakiki au lazima awe mwenyewe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom