Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,486
- 51,063
Kuna Email inacirculate ikieleza Yule Mkulima Steyn kumuandikia barua Kabudi baada ya kusikia taarifa kuwa kuna njama za Uhamiaji kumkamata na kumuweka ndani la sivyo kwa usalama wake aondoke nchini.
Kwenye Email hiyo mkulima anadai kwamba alipiga simu kwa watu wenye uwezo wa kumchuza kuhusu suala hilo na wakamhakikishia kuwa huo ni ukweli mtupu.
Mkulima Steyn akasema kuwa kwa hali ilivyo hana budi kuondoka nchini lakini atakwenda kudai haki nje ya nchi.
Mkulima anaeleza kuwa yuko radhi kuondoka lakini sehemu zingine ambazo amewekeza kwenye mambo ya wildlife yanaweza kuharibika kwa kukosa usimamizi mzuri.
Na kweli kaondoka na kama mnavyoona sasa Dege letu limekamatwa wiki nzima, maana yake tumepata hasara ya mamilioni ya fedha kwa dege hilo kutofanya kazi
Swali linakuja ni kwa nini serikali itake kutumia mamlaka na vyombo vyake kudhulumu mtu?
Huyu Mkulima kwa nini adhulumiwe haki yake?
Kama tunadhulumu wawekezaji namna hii, ni muwekezaji gani atakuja nchini kuwekeza?
Je Kabudi wakati huo akiwa waziri wa sheria alimshauri raisi vizuri namna ya kuhandle hili suala au ni mwendelezo wa mawazo yake ya kuleta siasa za zamani za kuona mzungu ni beberu kwa hiyo hata tukimfanyia umafia ni sawa?
Hapa serikali isitumie hisia, haki ya mtu ni haki ya mtu lazima ilipwe!