Je Professor Kabudi alimdanganya Rais ishu ya Mkulima Steyn?

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
8,380
2,000
Kuna Email inacirculate ikieleza Yule Mkulima Steyn kumuandikia barua Kabudi baada ya kusikia taarifa kuwa kuna njama za Uhamiaji kumkamata na kumuweka ndani la sivyo kwa usalama wake aondoke nchini.
Kwenye Email hiyo mkulima anadai kwamba alipiga simu kwa watu wenye uwezo wa kumchuza kuhusu suala hilo na wakamhakikishia kuwa huo ni ukweli mtupu.
Mkulima Steyn akasema kuwa kwa hali ilivyo hana budi kuondoka nchini lakini atakwenda kudai haki nje ya nchi.

Mkulima anaeleza kuwa yuko radhi kuondoka lakini sehemu zingine ambazo amewekeza kwenye mambo ya wildlife yanaweza kuharibika kwa kukosa usimamizi mzuri.
Na kweli kaondoka na kama mnavyoona sasa Dege letu limekamatwa wiki nzima, maana yake tumepata hasara ya mamilioni ya fedha kwa dege hilo kutofanya kazi
Swali linakuja ni kwa nini serikali itake kutumia mamlaka na vyombo vyake kudhulumu mtu?

Huyu Mkulima kwa nini adhulumiwe haki yake?
Kama tunadhulumu wawekezaji namna hii, ni muwekezaji gani atakuja nchini kuwekeza?
Je Kabudi wakati huo akiwa waziri wa sheria alimshauri raisi vizuri namna ya kuhandle hili suala au ni mwendelezo wa mawazo yake ya kuleta siasa za zamani za kuona mzungu ni beberu kwa hiyo hata tukimfanyia umafia ni sawa?

Hapa serikali isitumie hisia, haki ya mtu ni haki ya mtu lazima ilipwe!

Kabudi.jpg
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
8,380
2,000
Kabudi ana la kutwambia watanzania maana huko nyuma tlikuwa tunalipa bila tabu, ila wakati wake akiwa waziri wa Sheria tukaleta mizengwe, hapo ndipo tulipoharibu
 
The Knowledge Seeker

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
862
1,000
Kuna Email inacirculate ikieleza Yule Mkulima Steyn kumuandikia barua Kabudi baada ya kusikia taarifa kuwa kuna njama za Uhamiaji kumkamata na kumuweka ndani la sivyo kwa usalama wake aondoke nchini.
Kwenye Email hiyo mkulima anadai kwamba alipiga simu kwa watu wenye uwezo wa kumchuza kuhusu suala hilo na wakamhakikishia kuwa huo ni ukweli mtupu.
Mkulima Steyn akasema kuwa kwa hali ilivyo hana budi kuondoka nchini lakini atakwenda kudai haki nje ya nchi.

Mkulima anaeleza kuwa yuko radhi kuondoka lakini sehemu zingine ambazo amewekeza kwenye mambo ya wildlife yanaweza kuharibika kwa kukosa usimamizi mzuri.
Na kweli kaondoka na kama mnavyoona sasa Dege letu limekamatwa wiki nzima, maana yake tumepata hasara ya mamilioni ya fedha kwa dege hilo kutofanya kazi
Swali linakuja ni kwa nini serikali itake kutumia mamlaka na vyombo vyake kudhulumu mtu?

Huyu Mkulima kwa nini adhulumiwe haki yake?
Kama tunadhulumu wawekezaji namna hii, ni muwekezaji gani atakuja nchini kuwekeza?
Je Kabudi wakati huo akiwa waziri wa sheria alimshauri raisi vizuri namna ya kuhandle hili suala au ni mwendelezo wa mawazo yake ya kuleta siasa za zamani za kuona mzungu ni beberu kwa hiyo hata tukimfanyia umafia ni sawa?

Hapa serikali isitumie hisia, haki ya mtu ni haki ya mtu lazima ilipwe!

View attachment 1192258
Mpaka mnaliita dege
 
share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
5,576

Daah! Kabudi "kachomoa betri".
 
Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
8,084
2,000
Swali linakuja ni kwa nini serikali itake kutumia mamlaka na vyombo vyake kudhulumu mtu?
Kwani jambo kama hili ndio mara ya kwanza kutokea?
Jambo limekuwa kubwa na kujulikana kwa vile huyu mzungu kwa bahati yake nzuri kaponea chupuchupu. Akina Singasinga na Ruge, hata kama kweli wanastahili kesi hawakuwa na bahati kama yeye.

Acacia bahati yao walikuwa na baba ambaye isingekuwa rahisi kumyumbisha na kunyang'anya migodi yote.
Matendo haya ya uonevu na ukandamizaji ni sehemu ya tabia yetu. Yote tunayaona hata wapinzani yakiwapata.

Hivi Mbowe alifidiwa chochote na Bilicanna na uhalifu wa shamba lake kule Hai? Tunafurahia sana kuona watu wengine wakipata maumivu kwa vitendo tunavyowafanyia.
 
mysterio

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
4,919

Baadae tukae chini kuhesabu gharama zinazoepukika alizotutia huyu ngosha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom