Je pombe maana yake nini na faida zake ni zipi?

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Dec 13, 2009
3,398
319
TUJADIRI

HIZI NI BAADHI YA HASARA ZAKE
1.) VURUGU
2.) UTUMIAJI MBOVU WA FEDHA
3.) UZINIFU
4.) AJILI
5.) INAKUTENGA NA MUNGU
6.) MAGONJWA eg Kama ya figo na mapafu pia moyo
7.) HUARIBU UTU
9.) MAJUTO
10.)...........
11.).................
 
For Me,
Pombe ni kinywaji chenye kilevi.

Faida: Both + and -
1. Inaingizia Pesa nyingi sana KaMPUNI YA BIA......(Makaburu) na sidhani kama wanalipa kodi sawasawa.
2. Inaleta Marafiki uchwara wengi sana, Kama unapesa za kutosha kununulia company.
3. Ina kuweka mbali sana na familia yako (Muda mwingi utautumia ukiwa Bar....Hivyo hata muda na familia ni mchache.
4. Ina kufanya usahau matatizoyako kwa muda.
5. Inakujumuisha na wanajamii na kuzungumza (zinazoitwa deals) ilanawasiwasi.....
6. Ina rahisisha kujua siri za mlevi
7. Ina changia Ongezeko la zinaa na Ngono zembe.
8.
9.
10.

Waweza ongezea
 
TUJADIRI

HIZI NI BAADHI YA HASARA ZAKE
1.) VURUGU
2.) UTUMIAJI MBOVU WA FEDHA
3.) UZINIFU
4.) AJILI
5.) INAKUTENGA NA MUNGU
6.) MAGONJWA eg Kama ya figo na mapafu pia moyo
7.) HUARIBU UTU
9.) MAJUTO
10.)...........
11.).................

Umezijuaje kama na wewe si mmoja wao?
 
TUJADIRI

HIZI NI BAADHI YA HASARA ZAKE
1.) VURUGU
2.) UTUMIAJI MBOVU WA FEDHA
3.) UZINIFU
4.) AJILI
5.) INAKUTENGA NA MUNGU
6.) MAGONJWA eg Kama ya figo na mapafu pia moyo
7.) HUARIBU UTU
9.) MAJUTO
10.)...........
11.).................

Sikubaliani na wewe.......... NIELEWKE VYOVYOTE VILE.........Nachambua moja moja
1.) VURUGU ................... Vipi wale wa kule IRAQ, ALkaeda etc wote ni walevi........??? Maana wana vurugu kwa levo ya dunia ile mbaya.

2.) UTUMIAJI MBOVU WA FEDHA.............. Si kweli, kinachomfanya mtu atumie hela vibaya si pombe bali tabia yake mwenyewe..........

3.) UZINIFU ................ Hii ni tabia ya mtu na haisababishwi na pombe....... tunao wanafunzi wengi wazinzi lakini hawnywi pombe..........

4.) AJILI..........Hapa nadhani ulimaanisha ajali.............. Unaweza ukatoa takwimu ajali ngapi hutokea kwa mwaka na ngapi husababishwa na pombe..........????

5.) INAKUTENGA NA MUNGU................ Unakumbuka yesu alifanya nini kwenye ahrusi ya Kana..........??? ALibadili maji kuwa pombe........... hivi alitaka watu watengane naye...........????

6.) MAGONJWA eg Kama ya figo na mapafu pia moyo ............... give figures

7.) HUARIBU UTU.............. Hapa ndo sijakuelewa kabisaaaaaaaa................HOW...???

9.) MAJUTO .................... Ya nini...........????

Ulivyoteaja utadhani pombe haina faida hata kidogo............... Umeshawahi kujiuliza kwa nini watoa DAMU hushauriwa kunywa POMBE......???
 
Upo juu safi sana
 
5.) INAKUTENGA NA MUNGU................ Unakumbuka yesu alifanya nini kwenye ahrusi ya Kana..........??? ALibadili maji kuwa pombe........... hivi alitaka watu

mkuu naona kama umekuja kwa ajili ya mbango wala si kujadiri, lakini kwa kujiridhisha naomba hilo andiko ambalo
Yesu alibadiri maji kuwa pombe....kama kweli wewe ni msomaji na mwelewa wa Biblia harafu tundelee na maada
 
TUJADIRI

HIZI NI BAADHI YA HASARA ZAKE
1.) VURUGU
2.) UTUMIAJI MBOVU WA FEDHA
3.) UZINIFU
4.) AJILI
5.) INAKUTENGA NA MUNGU
6.) MAGONJWA eg Kama ya figo na mapafu pia moyo
7.) HUARIBU UTU
9.) MAJUTO
10.)...........
11.).................

haswaa
 
Attachments

  • pombe.jpg
    pombe.jpg
    38.7 KB · Views: 531
Back
Top Bottom