Mgomo wa madaktari unaondelea nchi Kenya kwa takribani miezi miwili umeingia awamu nyingine mpya pale viongozi wao waliotiwa hatiani na mahakama jumatatu kuachiwa huru leo ili mazungumzo yasikwame.
Siku zote tumeona madaktari hao wakijitokeza barabarani kwa maandamano bila kudhuriwa na polisi wala kupigwa mabomu, je hii ni kutokana na udhaifu wa polisi wa Kenya au weledi wao wakujua sheria na kuziheshimu?
Je hapa Tanzania polisi wangeendelea madakatari hao kuendelea kudai haki zao bila kupata mkong'oto?