Je PM Pinda, VC Rais Bilali na Mawaziri wengine wapo likizo? mbona kazi anachapa Dr Magufuli tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je PM Pinda, VC Rais Bilali na Mawaziri wengine wapo likizo? mbona kazi anachapa Dr Magufuli tu?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by shykwanza, Jan 5, 2012.

 1. s

  shykwanza Senior Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inavyoonekana sasa wasaidizi wote wa Rais JK wakiongozwa na Makamu wa Rais Bilal, Waziri Mkuu Pinda na Mawaziri wengine wote isipokuwa Kamanda Magufuli wameshindwa kazi au wapo likizo isiyo kuwa na mwisho. Hivi sasa serikali ya JK inaonekana kukosa dira kutokana tu na wasaidizi wake kutowajibika na kuelemewa na mambo yao binafsi na familia zao. Nini kifanyike sasa ili Wasaidizi hawa wa JK wachape kazi kama anavyofanya Magufuli; Je kuna haja ya JK kumpa nafasi ya Uwaziri Mkuu Magufuli na kupunguza idadi ya Mawaziri ambao wanaonekana mzigo kwa fedha za walipa kodi wa Tanzania? Toa maoni yako
   
Loading...