Je pinda ni mzalendo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je pinda ni mzalendo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ruttashobolwa, Apr 22, 2012.

 1. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 41,932
  Likes Received: 9,795
  Trophy Points: 280
  Nashindwa kumuelewa mizengo pinda kama ni mzalendo au la! sababu ameonekana kutokubaliana na madudu yanayofanywa na serikali yake na anapo hamua kuwachukulia hatua za kinidhamu upingwa na kuingiliwa na raisi wake na ata kwenye maamuzi magumu ambayo yalitakiwa kuchukuliwa na chama chake. Imeonekana yeye anaingiliwa na raisi wake na ndio maana ana shindwa kutangaza maamuzi yaliyofikiwa kwa kuhofia! kwani jk anaonekana kuwalinda hawa wezi na ndio maana pinda alishindwa kutangaza maamuzi ya chama maana yalishaingiliwa na jk!
  Cha kushangaza mizengo bado anendelea kutumika kwani alitakiwa kuchukua hatua ya kujiuzulu kwani yeye amefanywa kama bendera fata upepo hana maamuzi yeyote na akifanya maamuzi huingiliwa! kama yeye ni mzalendo wa kweli kwanini asijiuzulu? kuliko kuendelea kufanya kazi na wezi!
   
Loading...