Elections 2010 Je picha hizi zaonyesha ushindi Igunga?

Mzee Madoshi

Senior Member
Feb 16, 2011
134
41
IgungaCUF_CDM.jpg
Ippmedia imetoa picha ya wananchi wa KIJIJI MWAMASHIMBA waliofurika kisawasawa katika mikutano ya CUF na CDM jana, na kwa sababu tumekuwa tukitumia picha kama kielelezo kimoja wapo cha ushindi picha hizi zinatoa changamoto muhimu sana. Tuchukulie kijiji hiki kama kipimo cha nani atapata kura nyingi kati ya CUF na CDM, Je ni rahisi kutoa uamuzi nani atashinda kwa kuangalia picha hizi?, Je wingi wa watu ni kipimo sahihi cha kumtambua mshindi? Tatu, kama CUF/CDM watazoa kura za watu wote hawa CCM wana kitu kweli hapa ikizingatia kijiji hiki ndio Kafumu amekuwa akijivunia kuwa mlezi wa vijana wao.

Nawasilisha
 
Isije wakawa wamekuja kushangaa helcopta, kiukweli wingi wa watu unanrefrect ushndi incase watu wanaamua kuwa cosistent! Kimsingi CDM ndo ufumbuzi wa yote! I wish all the best to CHADEMA to win this by-election!
 
CHADEMA kamwe hawatashinda pale si km....,hata mkija na mamluki mmeshabwagwa,kaeni chonjo mkijiandaa na kilio cha aibu km kilivyokuwa kwa babu slaa
 
This time ht mchakachue tupo na nyinyi mpk last drop, possbly hujui ukombozi wa mnyonge mwny hk uko kwny hatua za mwisho, someni majira ya nyakati!
 
Tukumbuke utafiti ulioletwa na ndugu Mikael Aweda
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/174736-utafiti-chadema-74%25-igunga-kama-uchaguzi-ungefanyika-leo.html
Utafiti: CHADEMA 74% Igunga, kama uchaguzi ungefanyika leo
Chama cha Demokrasia na maendeleo kinaweza kushinda hadi 74% kwa mujibu wa utafiti uliofanywa kwa muda wa wiki tatu na wanazuoni na baadhi ya waandishi wa habari Tz daima imeripoti leo. Utafiti huo umefanyika ktk kata zote 26. Ilieleza taarifa hiyo kwa ufupi.

Kwa upande wake mwanahalisi nao wamefanya utafiti wao na kugundua kuwa Chadema inaweza kushinda kwa 55% tu kutokana na utafiti uliofanyika kwa wiki mbili uliohusisha mjini na vijijini.

Mijini ambako kuna 50% ya wapiga kura, Chadema inaweza kupata 60 -65# na CCM 25 - 32%. Kata za vijijini kabisa CCM 60- 65% na Chadema 30 - 32% na cuf 8- 10%.
Kata ambazo chadema inakubalika ni mwisi, Igunga, Ziba, Igurubi, Chaoma, na Nsimbo. Kati ya watu kumi 6 = chadema, ccm, Cuf na wengine waligawana zingine.
CCM ina mvuto sana ktk maeneo ya kijijini hasa kaskazini ktk tarafa ya Igurugi yenye kata za Itumba, Kingiringirina, Itumba, Mbembezi na Mbutu. Kati ya watu 10 waliohojiwa 6= ccm. Maeneo haya uelewa wa watu ni mdogo sana na wengi wao ni wafugaji. Waliojibu kuwa wataichagua ccm kwa sababu ndo chama walichokuwa nacho tangu zamani. Uelewa ni mdogo kiasi kwama hawajui hata baadhi ya vyama vinavyoshiriki uchaguzi wa Igunga, utafiti uligundua.
Waandishi wa Mwanahalisi wanaripoti kuwa Chadema ina nafasi kubwa kushinda kutokana na kukubalika ktk kata zingine 8. Kati hizo kata 8 ni kata za Nyandekwa, Mwamashiku, Mwamashimba, na Manga ambako chadema walipata 46% na ccm 40% cuf 12. Vyama vingine 1%.
Kwa wastani kwa mujibu wa mwanahalisi Chadema itapata kati ya 52% hadi 55 na CCM 42% hadi 46% na cuf 5 - 10%
 
Kama hawa watu waliokusanyika kwa ajili ya CUF kweli ni wakereketwa haswa wa Chama hicho, na kama hawa waliokusanyika kwa CDM nao ni vile vile peoplooooz power ya CDM. Haya makundi mawili yakiamua kila moja litumie Peoplooooz power yake hiki KIJIJI cha Mwamashimba atabaki mtu kweli? Pole itakuwa kwa kina mama na watoto.
 
Uwingi wa watu ulisababisha CDM ishinde Mby, Mwanza, Arusha, Iringa, Moshi, Mbozi na kwingineko, so the answer is yes, CDM itashinda.
 
J2 sio mbali tuone pipoozzz pawa inavyochukua jimbo,tutaandamana nchi nzima kusherekea ushindi pipooooooooooooooz pawa!!!!!!!
 
Tukumbuke utafiti ulioletwa na ndugu Mikael Aweda
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/174736-utafiti-chadema-74%25-igunga-kama-uchaguzi-ungefanyika-leo.html
Utafiti: CHADEMA 74% Igunga, kama uchaguzi ungefanyika leo
Chama cha Demokrasia na maendeleo kinaweza kushinda hadi 74% kwa mujibu wa utafiti uliofanywa kwa muda wa wiki tatu na wanazuoni na baadhi ya waandishi wa habari Tz daima imeripoti leo. Utafiti huo umefanyika ktk kata zote 26. Ilieleza taarifa hiyo kwa ufupi.

Kwa upande wake mwanahalisi nao wamefanya utafiti wao na kugundua kuwa Chadema inaweza kushinda kwa 55% tu kutokana na utafiti uliofanyika kwa wiki mbili uliohusisha mjini na vijijini.

Mijini ambako kuna 50% ya wapiga kura, Chadema inaweza kupata 60 -65# na CCM 25 - 32%. Kata za vijijini kabisa CCM 60- 65% na Chadema 30 - 32% na cuf 8- 10%.
Kata ambazo chadema inakubalika ni mwisi, Igunga, Ziba, Igurubi, Chaoma, na Nsimbo. Kati ya watu kumi 6 = chadema, ccm, Cuf na wengine waligawana zingine.
CCM ina mvuto sana ktk maeneo ya kijijini hasa kaskazini ktk tarafa ya Igurugi yenye kata za Itumba, Kingiringirina, Itumba, Mbembezi na Mbutu. Kati ya watu 10 waliohojiwa 6= ccm. Maeneo haya uelewa wa watu ni mdogo sana na wengi wao ni wafugaji. Waliojibu kuwa wataichagua ccm kwa sababu ndo chama walichokuwa nacho tangu zamani. Uelewa ni mdogo kiasi kwama hawajui hata baadhi ya vyama vinavyoshiriki uchaguzi wa Igunga, utafiti uligundua.
Waandishi wa Mwanahalisi wanaripoti kuwa Chadema ina nafasi kubwa kushinda kutokana na kukubalika ktk kata zingine 8. Kati hizo kata 8 ni kata za Nyandekwa, Mwamashiku, Mwamashimba, na Manga ambako chadema walipata 46% na ccm 40% cuf 12. Vyama vingine 1%.
Kwa wastani kwa mujibu wa mwanahalisi Chadema itapata kati ya 52% hadi 55 na CCM 42% hadi 46% na cuf 5 - 10%
Wewe unatuletea Gazeti la Mzee wa kujilipua Kubenea a.k.a Mzee wa tetesi,huyo ni CHADEMA wa kupukutika,ameuza utu wake kwa aijili y cdm,wala hawezi kutoa ushahidi hata wa kuchoma kwa jua,watu wenye fikra pevu hawazi kutegemea habari za kizushi zao.
 
Jina lako linasadifu ufyenze unaotema.
Nawe akili na maarifa yako yanadadavua ubinyivu wa ubongo na ufyongo wa upembuzi mlio nao cdm nyote,mtabaki na chuki tu na wala hamtashinda,mtamtia uchizi yule jamaa kwa kumpa matumani ya ushindi kama babu yenu slaa,mnaona anavyopayuka kwa wehu mlioamsababishia
 
ABUMAN, Kubenea - Mzee wa tetesi na mzee wa kujilipua Du. La tetesi limelielewa haraka ila la kujilipua sijakupata kabisa
 
Ama kujilipua yaani kuandika habari zisizo na ukweli kwa maslahi fulani yeye kubenea anajua hilo,ndomaana akijilipua anazima simu
 
CHADEMA kamwe hawatashinda pale si km....,hata mkija na mamluki mmeshabwagwa,kaeni chonjo mkijiandaa na kilio cha aibu km kilivyokuwa kwa babu slaa

yaani wewe ni mtu mwenye chuki sana na watu wengine.Pia wewe ni mdini hamna mfano wake.Huna tofauti na wale wanaojilipua
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom