Y ydn JF-Expert Member Nov 24, 2015 2,092 1,409 Mar 12, 2016 #5 vollies said: Wadau sijaerewa Click to expand... Jamaa anamwambia mwanamke yeye ni mwanasiasa na pia ni mkweli, mwanamke anamwambia yeye ni kahaba na ni bikira!
vollies said: Wadau sijaerewa Click to expand... Jamaa anamwambia mwanamke yeye ni mwanasiasa na pia ni mkweli, mwanamke anamwambia yeye ni kahaba na ni bikira!
Y ydn JF-Expert Member Nov 24, 2015 2,092 1,409 Mar 12, 2016 #6 Ukitaka usiwe na wanasiasa weka sheria ya kwamba ukidanganya unanyongwa hadharani! Nadhan hakuna atakayekuwa mwanasiasa
Ukitaka usiwe na wanasiasa weka sheria ya kwamba ukidanganya unanyongwa hadharani! Nadhan hakuna atakayekuwa mwanasiasa