Hili suala linanitatiza kidogo. Au Kama kuna mtu Ana uelewa zaidi anieleweshe. Nimeona mamlaka ya bandari imechangia madawati, au ni wafanyakazi wameamua kujitolea mishahara Yao?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.