Je, Paul Makonda anatosha kurithi kiti cha Dkt. Bashiru CCM?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,450
Najua Wapinzani hawatafurahia swali hili lakini chini ya jua lolote linawezekana.

Nawaona komredi Polepole na ndugu Makonda wakipiga jalamba kurithi mikoba ya Dr Bashiru aliyehamia Ikulu kama Katibu mkuu kiongozi.

Kwa mbali namuona Dkt. Mwigullu Nchemba naye anatroti.

Ufipa kaeni chonjo msiyempenda anaweza kuja.

Maendeleo hayana vyama!
 
Makonda wako kanyea anapolala, ishatoka hiyo, hutomsikia karibuni popote. Magufuli kaamua kujitenga na watu aina ya Makonda, now yupo busy na akina Kabudi, Rostam, Simbachawene, Jafo, Polepole and the likes. Vile vile hapendi vijana waliozaliwa 1982
 
Acha niseme, Makonda anaweza ila hafai, Makonda ana ilani zake kichwani zinazomtosha yeye tu, huyo atakipasua chama akidhani anakijenga, pia WAZEE wengi walio ndani kabisa ya roho ya chama hawawezi kuelewana na falsafa zake.

Makonda anapenda kuwa na wafuasi wake binafsi, ni mtawala asiye na mipaka, asiyetaka kushauriwa wala kukosolewa, mtu wa vitisho na visasi, sasa pale Chamwino kuna manguli ambao hawatakubali kukaliwa kichwani na nyoka mdogo kama Makonda, hapo moto utawaka.
 
Wapinzani wepi hawatafurahi wa ndani ya CCM au nje ya CCM?

Wakina Nape inamaana ndio mmewatosa?
 
Acha niseme,makonda anaweza ila hafai,makonda ana ilani zake kichwani zinazomtosha yeye tu, huyo atakipasua chama akidhani anakijenga,pia WAZEE wengi walio ndani kabisa ya roho ya chama hawawezi kuelewana na falsafa zake,makonda anapenda kuwa na wafuasi wake binafsi,ni mtawala asiye na mipaka,asiyetaka kushauriwa wala kukosolewa,mtu wa vitisho na visasi,sasa pale chamwino kuna manguli ambao hawatakubali kukaliwa kichwani na nyoka mdogo kama makonda,hapo moto utawaka.
 
Makonda awe Katibu Mkuu wa CCM? itakuwa aibu kuu.
 
Nadhani tunarejea zama za chama dola halisia, Cman,Rais wa nchi, huenda na makatibu wa ccm mkoa wakawa wakuu wa mikoa pia.
 
Back
Top Bottom