Je panahitajika serikali ya kitaifa

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,542
8,535
Mimi naomba kuuliza Hivi kutokana na hali yakisiasa baada ya uchaghuzi je inahitajika kuwepo na serikali ya kitaifa??endapo pale chama kitashinda kwa ukaribu zaidi yakilichoshinda??ili hata waliopiga kula kwa chama ambacho hakikushinda wapate haki??
Msaada wenu wa mawazo
 
Serikali ya utaifa ya nini?

Dr. Slaa atakuwa na wabunge wengi na wa kutosha kuunda erikali ya Chadema tu.

Haihitaji CUF wala CCM
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom