Je, Ole Sabaya kushitakiwa?

Amehamishiwa Kilosa , ni Msukuma kwa kabila , jina lake Mpina
Yule alie vunja vunja shamba la Mbowe ni nani Sabaya?

Hawa watu huu haukuwa ulevi wa madaraka tu, bila shaka ni ugonjwa kichwani ndio uliowatuma kufanya mambo ya ajabu ajabu kiasi kile.
 
Paul Makonda alifanya ujambazi kama ilivyo ole Sabaya, ni kwa nini yeye hafikishwi mahakamani?
 
Paul Makonda alifanya ujambazi kama ilivyo ole Sabaya, ni kwa nini yeye hafikishwi mahakamani?
Hata kama serikali isipomshtaki wananchi binafsi watamshtaki na kula naye sahani moja, mjinga alikuwa anajiona kama mungu mtu, kiongozi pekee kuzuiwa kuingia US, mpaka kafungiwa ujue US wana data zake za kutosha kwa ushenzi aliofanya, kaumiza wengi sana watu watakula naye tuu
 
Yule alie vunja vunja shamba la Mbowe ni nani Sabaya?

Hawa watu huu haukuwa ulevi wa madaraka tu, bila shaka ni ugonjwa kichwani ndio uliowatuma kufanya mambo ya ajabu ajabu kiasi kile.
Anaitwa Byakanwa alizawadiwa ukuu wa mkoa wa Mtwara
 
Kwa Makosa yake ya Kikatili Krav Maga ndiyo ningekuwa Rais nisingepoteza muda wangu Kuamuru ( kwa Kusaini haraka ) atangulizwe upesi Mavumbini Kinondoni ili Kufidia Machungu ya wale wote aliowaumiza.
Kumbe wewe ndio Krav Maga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom