Je Nyerere alikuwa na official train ?

Basi Nenda

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
20,141
45,808
kuna picha nimeipata huko mitandaoni inaonyesha rais wa kwanza wa tanganyika akiwa mbele ya train yenye nembo ya rais,
kwa mujibu wa taarifa,picha hiyo imepigwa kwenye reli ya kigoma miaka ya 1960's
sasa nikajiuliza je wakati wa nyerere alikua na official train kama moja ya usafiri wake kama walivokuwa marais wengi wa wakati huo ? na je hiyo train ipo wapi sasa ?
61820137_2412879442264423_8001334630030508032_n.jpg
 
.
 
Attachments

  • 61820137_2412879442264423_8001334630030508032_n.jpg
    61820137_2412879442264423_8001334630030508032_n.jpg
    51.2 KB · Views: 24
kuna picha nimeipata huko mitandaoni inaonyesha rais wa kwanza wa tanganyika akiwa mbele ya train yenye nembo ya rais,
kwa mujibu wa taarifa,picha hiyo imepigwa kwenye reli ya kigoma miaka ya 1960's
sasa nikajiuliza je wakati wa nyerere alikua na official train kama moja ya usafiri wake kama walivokuwa marais wengi wa wakati huo ? na je hiyo train ipo wapi sasa ?
Hakuwa na treni maalum ila lilikuwapo behewa maalum kwa ajili ya rais pia ikulu ilikuwa na garinyumba (caravan) kwa ajili ya rais ambavyo alikuwa akiitumia vijijini.
Hiyo nembo ilikuwa ikiwekwa anaposafiri na treni ila behewa lilikuwa ni kwa rais tu na lilikuwa rangi tofauti na mengine.
 
Hakuwa na treni maalum ila lilikuwapo behewa maalum kwa akili ya rais pia ikulu ilikuwa na garinyumba (caravan) kwa akili ya rais ambavyo alikuwa akiitumia vijijini.
Hiyo nembo ilikuwa ikiwekwa anaposafiri na treni ila behewa lilikuwa ni kwa rais tu na lilikuwa rangi tofauti na mengine.
asante kwa taarifa mkuu
 
Back
Top Bottom