Je, noti zako zimeungua, kuchanika, matundu, kufubaa nk? Usizitupe, fanya haya upewe mpya

Bank ya Posta nimeona kuna dirisha maalum la kupokea na kubadilisha Pesa chakavu.
Mitaani pia kuna machinga hupita kununua noti chakavu hawa ndio hasa wanaosaidia watu sana mitaani uswahilini sababu hukufuata ulipo
 
Mitaani pia kuna machinga hupita kununua noti chakavu hawa ndio hasa wanaosaidia watu sana mitaani uswahilini sababu hukufuata ulipo
Nao ni biashara nzuri kwao, nadhani na wao wanatumia fursa kama hiyo ya kuzipeleka kwenye madirisha kama hayo ya Posta na kujiingizia kipato.

Maana si wote wenye uelewa wa njia hizo za kubadirisha fedha au hata kufika kwenye asasi hizo.
 
Shukrani mkuu! Elimu hii ikiwafikia wakulima vijijini ni msaada mkubwa, wengi wao wanaamini pesa ikishachanika au kutoboka ndio mwisho wa matumizi so ukienda na pesa chafu au chakavu hata umwambieje hapokei!
 
Back
Top Bottom