Je Niudhaifu Wa Rais wa JMT?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Niudhaifu Wa Rais wa JMT??

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by KakaKiiza, Jan 4, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Nashindwa kuelewa kama ulikuwa udhaifu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania kuruhusu zanzibar kurekebisha katiba yao kabla Yakurekebishwa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania??Kwani sikupata kusikia wakati wa Ml,Julius Nyerere Zanzibar ikibadrisha katiba kabla ya kupitia ya JMT au ilikuwa ikifanyika tujuzeni!!
   
Loading...