SOFTWARE Adiuta Biz Assistant - Programu ya Usimamizi wa Biashara zako

Je Unaelewa namna ya Kusimamia biashara?


  • Total voters
    9
Hakuna haja ya kuhangaika na namna ya kutunza hesabu za kampuni yako, Supermarket, Pharmacy n.k.
Tupigie au tutumie WhatsApp message 0767893474.
Karibu sana!
 
Habari
Hosanna Higher Technologies, Wataalam wa kujenga mifumo ya kielektroniki tangu 2013 tunakuletea mfumo wa usimamizi wa biashara na viwanda.



Adiuta ni mfumo unaokuwezesha kufuatilia mapato, matumizi, mauzo, idadi ya bidhaa zilizobakia na faida. Zifuatazo ni faida za kutumia mfumo wa Adiuta:
  • Tengeneza Invoices. Pata ripoti za madeni unayowadai wateja na historia ya malipo yao
  • Rekodi matumizi. Pata ripoti ya madeni unayodaiwa na suppliers wako
  • Pata taarifa za akaunti yako ya benki kadri unavyofanya mauzo na manunuzi. Fanya Bank reconciliation kwa urahisi ikisaidiwa na mfumo
  • Pata taarifa kuhusu mali zako na uchakavu wake (depreciation)
  • Pata ripoti za kihasibu (statement of profit and loss na Balance sheet)
  • Pata ripoti za kodi kama VAT ili kujua kiasi cha kutangaza TRA
Kwa wenye maduka kama ya spare, pharmacy au super market, Adiuta inakuongezea:
  • Ripoti ya mauzo kwa siku zozote zile utakazotaka
  • Ripoti ya bidhaa inayouza sana
  • Ripoti ya stock iliyobakia
  • Uwezo wa kuagiza bidhaa (Purchase orders)
  • Kuuza kwa Barcode
Kwa wenye viwanda, Adiuta inakuongezea:
  • Kuagiza malighafi
  • Usimamia uzalishaji toka kwenye malighafi
  • Kujua kiasi cha Inventory kilichopo stoo kama malighafi, kilicho kwenye uzalishaji na kilichokwisha kuzalishwa
  • Kujua gharama za uzalishaji wa kila bidhaa
  • Kujua bidhaa zilizozalishwa na upotevu wa malighafi kwenye uzlishaji
  • Kupokea order za wateja na kuzituma kwenye uzalishaji
  • Kutoa Invoices kwa wateja pamoja na mzigo kwa awamu
  • Kupata projection ya faida kwa bei husika
Pamoja na faida nyingine nyingi.
Tutembelee kwa taarifa zaidi mtandao wetu adiuta.com au Twitter na Instagram kwa anuani ya adiuta_biz
Simu 0767893474

Karibuni sana

Adiuta ni cloud based kwa hiyo unaipata popote pale ulipo na ina apps za simu, Android na iOS
Karibuni kwa maswali!
 
Back
Top Bottom