Je nitaruhusiwa kurudia Mtihani ACSEE hata kama nilipata matokeo mazuri?

Mar 9, 2016
41
17
Naombeni msaada wenu waungwana.
Iwapo mtu alifanya mtihani wa ACSEE na akapata matokeo ambayo hayakumridhisha ingawa yana mruhusu kujiunga na elimu ya juu ,Je ana ruhusiwa na NECTA kurudia mtihani huo kama PRIVATE CANDIDATE na nini hatma ya hiki cheti cha awali?
 
Wanaangalia economic status yako.kwa mfano o-level umesoma private inaweza ikakupunguzia au kukunyima kabisa mkopo
 
Wanaangalia economic status yako.kwa mfano o-level umesoma private inaweza ikakupunguzia au kukunyima kabisa mkopo
ah sawa mm o-level nlisoma shule za kata alafu advanc nkafanya mtihan kama private candidate.....
 
Back
Top Bottom