Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ya binaadamuMakwapa gani hayo?
hii ndiyo dawa, ndugu mleta mada azingatie, usafi wa eneo hili pia uimarishwe! aidha, akienda youtube aka-search clip za topic hiyo ziko nyingi tu!Achukue maji ya limao achanganye na baking soda. Apake kama 5min hivi anawe. Azoee kufanya hivyo mara kwa mara.
aya boss asantehii ndiyo dawa, ndugu mleta mada azingatie, usafi wa eneo hili pia uimarishwe! aidha, akienda youtube aka-search clip za topic hiyo ziko nyingi tu!
dohAhamie mbagala rangi tatu, watu wa kule hashangaani kweny hali kama hiyo, ataish confortable tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
lako jeupe kwan?yani kwapa liwe jeupe ili iweje..
jeusi kama nilivyo vipi lako jeupe!?lako jeupe kwan?
Maji ya kundejeusi kama nilivyo vipi lako jeupe!?
Hataree
Asugue tu kama alivyousugua huo uso mweupe
hahahhahaaajaribu kuwa unaoga walau mara moja kwa siku
hatarii..Maji ya kunde
Tusaidie na tuliokuwa huku tunataka kujua
HahaAjisugulie SITILIWAYA.
Niaje