Je, nitakuwa nimevunjika uume kwa hali hii?

Msaada wakuu nikiwa ktk tendo landoa mke akiwa juu anapampu Sasa katika kupampu akatoka nje ya uume akajikuta kaikalia nkapata maumivu makali uume ukalala..Sasa mpaka mda huu inasimama Kias nakuhis korodani zinauma..Sasa wakuu msaada je uume utakua umevunjika ama
Acha kuiga iga style utakufwaa
 
Tunaita kuvunjika kwa uume lakini uhalisia ni kwamba uume ukisimama unajaa damu, kwenye sehem zilizotengenezwa kama sponge flani,so kama wakati wa sex mtu aka push harder au wakati position ya woman on top akaikalia kwa nguvu, husababisha uume kupinda kwa nguvu na hii hupelekea ile sehem ambayo ni kama sponge kupasuka, matokeo yake ni kwamba damu itashindwa kujaa vizuri na uume kupinda au kushindwa kusimama vizuri....matibabu ni operation ya kurepair hizo sehemu zilizopasuka..

Ahsante kwa darasa mkuu! Nashukuru nimeshazeeka haya mambo ya kuvunjana viungo tumewaachia vijana.
 
Tunaita kuvunjika kwa uume lakini uhalisia ni kwamba uume ukisimama unajaa damu, kwenye sehem zilizotengenezwa kama sponge flani,so kama wakati wa sex mtu aka push harder au wakati position ya woman on top akaikalia kwa nguvu, husababisha uume kupinda kwa nguvu na hii hupelekea ile sehem ambayo ni kama sponge kupasuka, matokeo yake ni kwamba damu itashindwa kujaa vizuri na uume kupinda au kushindwa kusimama vizuri....matibabu ni operation ya kurepair hizo sehemu zilizopasuka..
Najifunza....
Hii case ni serious hivi kumbe.

Pole sana mkuu malembeka18 wahi hospital kabla mambo hayajaharibika zaidi.
 
Kuna mshipa ule WA Chini ambao huwà unakakamaa inasemekana ukivunjika huo unabaki na kikojoleo Tu maisha yako yote. Na Kuna taarifa polisi wamekuwa na tabia hiyo kuwafanyia watuhumiwa wanamtuma polisi WA kike akuchezee usimamishe kisha anawaita wenzie ukishasimamisha wanakutesa wanavunja huo mfupa ndo basi TENA Mzee. Ila Kwa maelezo yako kuwa makini bado uko vizuri lakini Kwa hofu uliyonayo uwenda ikakuletea shida ya kusimamisha.
 
Kuvunjika kwani kuna mfupa pale?
Unataka wakufunge PoP?

Itakua umeumia lakini sio kuvunjika.
Pole sana.
Anaweza akawa "imevunjika" kweli hasa kama ililala pale pale. Kama kweli imevunjika basi itabidi awahi hospitalini kwa sababu anaweza akahitaji operesheni.
Screenshot_20211020-220916_Chrome.jpg

Ndio hapo nauliza, hilo tukio tunaita kuvunjika au kuumia? Sio kwamba misuli imeshtuka? Kama akienda hospital atawekewa PoP au atapatiwa dawa za kutuliza maumivu na kuweka sawa misuli?
Hiyo misuli inavunjika na ikivunjika tiba yake ni mtihani sana.
 
Aisee wahi hospitali mkuu, unaweza kuta kiutani utani unachelewa inabidi waikate
IMG_20211024_214426.jpg
 
Back
Top Bottom