Je, nisawa majaji kuwa mawakili? Wanasheria tunaomba mtuambie

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Kama alivyoshangaa Mh.Jaji Mkuu wa Tanzania hata mimi nashangaa.

Japo sina utalaamu mkubwa wa Mambo ya Sheria lakini kwa elimu yangu ndogo hakika hao Majaji hawakustahili kufanya hivyo lakini kama ni kuongeza CV

Lakini kama ni kuwa wakili wa kujitegemea baada ya kukoma Utumishi wao sio sawa.
 
Kama alivyoshangaa Mh.Jaji Mkuu wa Tanzania hata mie nashangaa.Japo sina utalaamu mkubwa wa Mambo ya Sheria lakini kwa elimu yangu ndogo hakika hao Majaji hawakustahili kufanya hivyo lakini kama ni kuongeza CV tu labda lakini kama ni kuwa Mawakili wa kujitegemea baada ya kukoma Utumishi wao sio sawa.
I HOPE UNASOMA SHERIA, SO PITIA TENA MAWAZO YAKO VIZURI. I DON'T SEE ANY CONTRADICTIONS WITH THEM TO PRACTICE WHETHER FROM JUDGE'S BUT MOSTLY TO MAGISTRATES. I HOPE IT STAYS THAT WAY, ISSUE YA CHIEF JUSTICE KUSHANGAA SIJAMWELEWA KABISA.
 
Mkuu kama sijakuelewa hivi.

Ni kwamba shida ni kuajiliwa na serikali au nikwamba unataka mawakili wote wawe majaj?

Nieleweshe kidogo
Mkuu hoja yangu ni kuwa,umekuwa Jaji mpaka umestaafu,leo unarudi kuwa Wakili wa kujitegemea unapambana na kijana wakili upande wa pili wewe wakili uliyewahi kuwa jaji unashindwa kesi hapo ndio napata shida.Nilitegemea huyo jaji mstaafu apumzike kuliko kukimbizana na vijana kisutu mwisho wa siku Wakili(Jaji mstaafu)anashindwa kesi.
 
Hapo ukosawa mkuu!
Ni bora mtu akapumzike tu, au afungue law firm ambayo ataajiri vijana wapige kaz kwa niaba yake. Akifanya hivi atakuwa amewasaidia vijana katika ajira na hata yeye mwenyewe ataendelea kuacha alama katika jamii huku akiendelea kupata kipato.
Anaweza pia akawa anaandika Journals au hata kitabu kama akima shivji walivyo fanya ilikukuza taaluma hii ya sheria.

Japo kuwa sheria haimkataz kuwa wakil wakujitegemea lakini pia anatakiwa ajue kuwa kupumzika baada ya kistaafu ni ishara ya appreciation kwa kile ilichokifanya kwa lipindi chote akiwa kama jaj na wala haimaanishi hanauwezo wa kuwa advocate!

Mkuu hoja yangu ni kuwa,umekuwa Jaji mpaka umestaafu,leo unarudi kuwa Wakili wa kujitegemea unapambana na kijana wakili upande wa pili wewe wakili uliyewahi kuwa jaji unashindwa kesi hapo ndio napata shida.Nilitegemea huyo jaji mstaafu apumzike kuliko kukimbizana na vijana kisutu mwisho wa siku Wakili(Jaji mstaafu)anashindwa kesi.
 
Hoja ya ni sawa na kusema Meneja mstaafu wa kampuni anaenda kufungua biashara ya duka. Tatizo liko wapi? Taaluma ya Jaji niku practise Sheria, Huo ujaji aliteuliwa tu. Sasa kastaafu, wacha aka practise taaluma yake.
 
Back
Top Bottom