Je nisahihi kumweka raia chini ya ulinzi kabla ya upelelezi? Au nisahihi kumweka mtuhumiwa chini ya ulinzi baada ya upelelezi?

Mwasyambi

Member
Oct 1, 2020
24
24
Ndugu zangu nimeshuhudia watu wengi wakilalama kwamba aliwai kukamatwa akatupwa ndani kwakuhisiwa kuhusika na mauwaji frani akakaaa jera kwamda wa miaka miwili na miezi minne baadae upelelezi ukaonekana mtu huyo hakuusika.

Baadae akaja aka achiliwa na kuludi mtaani bila fidia yoyote. Wengine mpaka leo wapo jera.na wengine inapo onekana hawana hatia hubadilishiwa kesi mahakamani nakunikuta wanaendelea kusota jera kama maabusu. Sasa swalilangu nikwsmba kwanini selikali isiweke utarstibu wa upelelez kwanza wakijilidhisha na ushahidi wameupata ndipo wamkamate mtu wakiwa na ushahidi siyo unamkamata mtu ushahidi huna unamtupa ndani huku unasema upelelezi unaendelea.unakula vizuri unalala vizuli watoto zako wanaenda shure upelelezi hufuatiliii unacheza draft.

Mwenzio yupo ndani.familia haipati mahitaji.watoto hawaendi shule .kwanini??? Msaadawenu wajuzi wa maswala ya sheria..
 
Back
Top Bottom