Hahahaha ngoja nijaribuBongo kwao Nyoso sisi kwetu Ibiza..(nilimsikia chin bees akiimba )
hii nimeikubaliHahahaha ngoja nijaribu
Bongo ni kiswahili
Nyoso / Nionso / Nioso ni lingala
Sasa kwa lingala Nionso ni Kila kitu au Everything
Hivyo sasa Ukisema Bongo Nyoso au Bongo Nionso una maanisha Bongo ni kila kitu hivyo basi
Bongo nyoso ni Bongo kila kitu
Nimejaribu kuunganisha navyoelewahii nimeikubali