Je, nini maana ya 'Bongo Nyoso'?

hiram

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
266
393
Je neno BONGO NYOSSO asili yake ni nini? na je lina uhusiano wowote na yule mchezaji SIMBA na KAGERA JUMA NYOSSO

nyosso.jpg
 
Bongo kwao Nyoso sisi kwetu Ibiza..(nilimsikia chin bees akiimba )
Hahahaha ngoja nijaribu

Bongo ni kiswahili
Nyoso / Nionso / Nioso ni lingala

Sasa kwa lingala Nionso ni Kila kitu au Everything

Hivyo sasa Ukisema Bongo Nyoso au Bongo Nionso una maanisha Bongo ni kila kitu hivyo basi

Bongo nyoso ni Bongo kila kitu
 
hii nimeikubali
 
Back
Top Bottom