Je, nini athari za petition!?

Charliemic

JF-Expert Member
Feb 17, 2019
585
919
Mara nyingi nimeona upinzani wakijitahidi kusainisha watu petition kwa njia ya mtandao! Je baada ya Watu kusign petition huwa wanapeleka Wapi?? Ni zipi athari zake????

Hivi Mh @Zito pamoja na hamasa yote kati ya watu zaidi ya Mil 50 umepata watu 14000 tu si uache tu. Maana naona kama watu hawakuungi mkono. Yaani hawajafika hata 0.1% ya watanzania wote

Au tunapotezeana muda tu???
 
Back
Top Bottom