Je, ninaweza kustream video za 4K/FHD Kwa Smart Kitochi?

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
10,792
15,693
Niko Bukoba, nna smart-tv ambayo napenda niwe naitumia pia kwa ajili ya kustream movies, na live events ila simu yangu ya infinix imeprove failure kwenye hilo, natumia voda line ya 4G ila 4G haipandi , Tigo inadaka japo speed yake sio nzuri kwa kustream high quality videos inakwamakwama. Nilikuwa nafikiria ninunue smart kitochi 4G ya voda, je inaweza kuwa suluhisho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana

@kcamp
Screenshot_20200330-111622.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tafuta simu ambayo inaweza kukupatia option ya 4G only. Ila hakikisha simcard unayotumia ktk issue za internet isiwe ambayo unaitegemea kufanya mawasiliano ya kawaida. Maana 4G only utapata tu sms na internet. Voice call haisupport

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom