FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,373
hawa wachina kumbe wao ni matapeli kwenye kila kitu? ha jamani
Hapo kwenye nyekundu umenifurahisha sana!JAmani Bandugu,mzigo umefika salama ,nimecheki DHL website,nimeona upo dar ,processed waiting for pickup,so kesho ntaenda kuucheki je ni fake feki or fake orignal ,si mnajua mambo ya china:target:
JAmani Bandugu,mzigo umefika salama ,nimecheki DHL website,nimeona upo dar ,processed waiting for pickup,so kesho ntaenda kuucheki je ni fake feki or fake orignal ,si mnajua mambo ya china:target:
Mimi nimenunua sana vitu online sasa kitu cha kwanza angalia seller kwanza awe amefanya kazi zaidi ya mwaka mmoja pia if its too good to be true it is... more info...
Alibaba Scammers | Global Trade Ends HERE for them | Scam List
OFFICIAL LIST OF FRAUD/SCAM COMPANIES IN ALIBABA-Alibaba Trade Forums