Je nimemjibu jamaa vibaya kuhusu mchumba wangu??

hapo ndio mm nawashangaa wabongo siku zote
kuwa na mke au girlfriend sio kummiliki kila kitu
vitu kama emails facebook au simu ni private
kwann kushare passwords? hamuaminiani?
ndoa bila privacy haiwezi kudumu mtaishi kwa kuogopana
marriage is not about controlling your fellow ni kuishi kwa upendo na ina mipaka yake
yawezekana ww ulikuwa unamchunga too much kujua nani kachati nae kwann nk
hata mngeoana hamngedumu. acha tabia za kikoloni.mambo ya kizamani yamepitwa na wakati

Mkuu nashukuru kwa ushauri wako either, ila pamoja naona hujaelewa vizuri ila naona wadau wengine wote wamenielewa what naamnisha kuki kesha, naona umesoma sehemu moja tu hiyo ya password basi sehemu nyingine hujasoma, pia nashukuru kwa mchango kaka na tupo pamoja.
 
Nakupongeza kwa burasa na ujasiri ulionao, Hivyo ndivyo inavyo takiwa, huwezi jua Mungu amekuepusha na nini, Mungu amekwisha kukuandalia wakwako, tulia muombe Mungu atakusaidia muda utakapofika atakupa wa kwako.Huyo mwanamke siyo mwaminifu. Tulia wala usiwe na papara tena, Mungu awe nawe akusaidie kupata mwezi aliye sahihi kwako.
 
USILAZIMISHE MAMBO BWANA DUNIA HAIJAI KIGANJANI BANA UTAKULA RAHA TU PAPIZO NAKUINJOI KAMA MIMI hahahah

Sana nilikaa nikafikiria nikasema bora kukaa bila kuowa kama mambo yenyewe ni haya bora nile raha mwenyewe tu maana huu ni ugonjwa wa moyo eti hahah
 
kwanza pole sana...
pili hongera wewe ni mwanaume haswaaaaa umemjibu kiume...
tatu huyo binti akirudi tena kwako usikaze wala kulegeza moyo mwambie humtaki....kwa maana hakufai...

nne mshukuru Mungu maana hujui amekuepusha na nini
tano songa mbele na maisha yako..........

Thank you sana mkuu wangu,nitafatilia mchango wako na vile vile now nimesha move on na naangalia maisha upya, asante sana mkuu wangu.
 
Pole sana Mkuu...Songa mbele na maisha yako utampata mwingine ambaye atathamini penzi lako huyu alikuwa tapeli tu ambaye alikuwa mguu ndani mguu nje kwa miaka zaidi ya minne katika mapenzi yenu.

Nashukuru mkuu na asante sana, yeah ndio hivyo later hao ndio wanafikiaga na kujutia na kuona walifanya makosa ila now done nashukuru.
 
GOOD, kaa mda mrefu for about 6 Month kabla ujawa na mahusiano na mtu mwingine. Other wise you're in dangerous way of being PLAYER
 
nimekuelewa sana ndugu
what i mean yawezekana ukawa chanzo wewe mwenyewe cha yeye kuwa hivo
ukimpata mwingine mambo ya kuangalia ndio kama hayo nimeandika hapo juu
mimi huwa sipendi kuhukumu upande mmoja.
Mkuu nashukuru kwa ushauri wako either, ila pamoja naona hujaelewa vizuri ila naona wadau wengine wote wamenielewa what naamnisha kuki kesha, naona umesoma sehemu moja tu hiyo ya password basi sehemu nyingine hujasoma, pia nashukuru kwa mchango kaka na tupo pamoja.
 
aisee una moyo wa chuma, mimi nilipiga simu kwa bf wangu, ati akaniuliza mie nani dah, yaani bf kanisahau au vip hata kama kapata k ya mgao ndo anisahau? nilimpandilia huko huko hewani hata kaa asahau, mpaka leo hata kuniangalia tu hawezi achilia mbali kuachana.
 
Sasa leo hii nimepigiwa simu mchana majira ya saa kumi namsikia mchumba wangu ananiambia kwamba ongea na bf wangu

dah, kuna mabinti wana guts si mchezo ... they don't give a shit whether they gonna hurt somebody's feelings or not
 
Pole sana man wanawake viumbe wadogo sana wasikuumize kichwa,kama ulishamvua big up ilo ndo la muhimu ktk any relation ila kama ulikuwa nae uktegemea anakutunzia tunda pole.
 
Umefanya VIBAYA!!
Demu alishamwaga Ugali kwa kukukana,
Nawe ungemwaga mboga kwa kumwambia huyo mwanaume mwenzio kua yeye ndio mwizi na we we ndio mmiliki.
Kama una ushahidi mbalimbali juu ya kwamba uhusiano wenu ni wa kitambo zaidi kuliko wa huyo jamaa ungemuonyesha ili azidi kukuamini kua yeye ndio mwizi.
Mwisho wa siku akija kukubali na kuamini kua yeye ndio aliongilia mahusiano yenu akakata kamba ndipo nawe Pia unakata kamba umuache demu anatapatapa.
Jamaa sio m'baya wako hata kidogo, Bali demu. So ungesuka plan ya kumharibia ili ajute kukupotezea muda

maandishi tukufu yanasema usilipize baya kwa baya.
 
Yashanikuta mie kwa mademu wawili, mmoja wakati nimemaliza chuo natafuta kazi akafanya the same issue, ilinichanganya coz nilikuwa nimepanga nikipata kazi nianze mchakato wa ndoa, mungu akanisaidia nikamove on, akaja mwingine pasua kichwa, nikamlipia na ada ya chuo mzumbe maana mama yake alikosa pesa, akaja nikapigiwa simu na mtu akanambia the same story nikamtimua nae. Leo wote wanalalamika hawajapata mwanaume kama mie, kwa bahati nzuri mie nishaoa, nina kijana wa kiume though i cant say am happy with marriage but am satisfied.
 
Nakupongeza kwa burasa na ujasiri ulionao, Hivyo ndivyo inavyo takiwa, huwezi jua Mungu amekuepusha na nini, Mungu amekwisha kukuandalia wakwako, tulia muombe Mungu atakusaidia muda utakapofika atakupa wa kwako.Huyo mwanamke siyo mwaminifu. Tulia wala usiwe na papara tena, Mungu awe nawe akusaidie kupata mwezi aliye sahihi kwako.

Nashukuru saa mkuu maana amenifungulia mambo mapema kabisaaa kabla hatujaenda next step ambayo ingekuwa hard na ngumu zaidi, asante sana tena sana kwa ushauri wako na now nimeshakuwa normal tayari JF mmenipa ushauri mzuri sana
 
GOOD, kaa mda mrefu for about 6 Month kabla ujawa na mahusiano na mtu mwingine. Other wise you're in dangerous way of being PLAYER

Thank u sana mkuu and yes nime plan iwe hivyo kwa kweli niwe kwenye break kwa mda fulani. Asante sana
 
nimekuelewa sana ndugu
what i mean yawezekana ukawa chanzo wewe mwenyewe cha yeye kuwa hivo
ukimpata mwingine mambo ya kuangalia ndio kama hayo nimeandika hapo juu
mimi huwa sipendi kuhukumu upande mmoja.

Nashukuru sana mkuu, wangu, kumbuka hapo hilo swala na idea ni yeye ndio alitaka sio mimi, me kwanza huwaa sipendi kabisa hii tabia ila yeye ndio aliomba iwe hivyo mimi nikakubali sikuwa na kinyongo basi after hapo kukaanza kuwa na visaa ndio kamahapo nilivosema ndio maana niikasema nimeanza inshort tu hiyo habari. ila you the best bro naurahi sana kuwa open na mimi......Asante saana
 
aisee una moyo wa chuma, mimi nilipiga simu kwa bf wangu, ati akaniuliza mie nani dah, yaani bf kanisahau au vip hata kama kapata k ya mgao ndo anisahau? nilimpandilia huko huko hewani hata kaa asahau, mpaka leo hata kuniangalia tu hawezi achilia mbali kuachana.

Duuuu wewe kweli noma aiseee sio mchezo kumbe ndio hivyo kwa hiyo naona kama haya mambo yangekukuta usingelaza damu si ndo??
 
dah, kuna mabinti wana guts si mchezo ... they don't give a shit whether they gonna hurt somebody's feelings or not

I know bro, maybe kuna something ambacho wanaringia n ukija kuangalia at the end unakuta wanalia na kuishia mtu fulani kanicheat.
 
Pole sana man wanawake viumbe wadogo sana wasikuumize kichwa,kama ulishamvua big up ilo ndo la muhimu ktk any relation ila kama ulikuwa nae uktegemea anakutunzia tunda pole.

Mkuu huyu nipo nae since form 1 so miaka ile sio jana wala leo na nilishafanya kila kitu ndugu yangu, na kama ulivyosema ndio kitu cha muhimu zaidi na nashukuru sana ndugu yangu kwa ushauri wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom