Je niko sahihi? simu yangu haina Security Lock yoyote.

Ramon Abbas

JF-Expert Member
May 4, 2021
1,997
2,000
Habari za muda huu Tech Gurus?

natumia simu aina ya Camon 16.

Hii simu kwa kuhofia kwamba siku ikipotea nije niipate kirahisi, nimeacha kuweka Security lock, zile za Pattern, number, password ama Fingerprint.

Ina SWIPE tu. Je, niko sahihi kiusalama?

Je, siku ikipotea naweza kuipata?
 
whiteskunk

JF-Expert Member
Jul 24, 2021
281
500
Ubaya ni tecno, na ni mediatek. Mtu anaitoa frp ndani ya sekunde 3. Pia kama ni mjeuri anaweza kucheza na imei.

Ila kiujumla ni bora kutoweka lock maana akiiokota mtu anaweza kutumia kwanza na kukupa mwanya wa kuitrack.

Kuna jamaa aliibiwa infix akaipata kupitia find my device sababu haikuwa na screen lock.
 
Daktari wa Manchester

JF-Expert Member
Jun 1, 2020
317
500
Ubaya ni tecno, na ni mediatek. Mtu anaitoa frp ndani ya sekunde 3. Pia kama ni mjeuri anaweza kucheza na imei.

Ila kiujumla ni bora kutoweka lock maana akiiokota mtu anaweza kutumia kwanza na kukupa mwanya wa kuitrack.

Kuna jamaa aliibiwa infix akaipata kupitia find my device sababu haikuwa na screen lock.

Kwa hiyo inabidi mda wote sim iwe na location on 🛡️?
 
Ramon Abbas

JF-Expert Member
May 4, 2021
1,997
2,000
Ubaya ni tecno, na ni mediatek. Mtu anaitoa frp ndani ya sekunde 3. Pia kama ni mjeuri anaweza kucheza na imei.

Ila kiujumla ni bora kutoweka lock maana akiiokota mtu anaweza kutumia kwanza na kukupa mwanya wa kuitrack.

Kuna jamaa aliibiwa infix akaipata kupitia find my device sababu haikuwa na screen lock.
Ukibadili IMEI inapoteza ushahidi wa chombo husika si ndio?
 
VERSPOT OFFICIAL

JF-Expert Member
Apr 24, 2015
455
500
Habari za muda huu Tech Gurus?

natumia simu aina ya Camon 16.

Hii simu kwa kuhofia kwamba siku ikipotea nije niipate kirahisi, nimeacha kuweka Security lock, zile za Pattern, number, password ama Fingerprint.

Ina SWIPE tu. Je, niko sahihi kiusalama?

Je, siku ikipotea naweza kuipata?
Upo sahihi mkuu account inatosha ila kwa cm za MediaTek MT6753 hiyo ndio chip unayoitumia cm ya mwaka 2016 patch level yake ya mwaka 2016 bila shaka aan hiyo mtu a nawez kuchez nayo had akabadl boot logo rom nk nk
 
VERSPOT OFFICIAL

JF-Expert Member
Apr 24, 2015
455
500
Siku ukisahau simu sehemu halafu wenye nia mbaya wakaitumia kufanya uhalifu wa mtandao kwa sababu simu haipo locked, ndio utajua umuhimu wa password
Je umewahi kushuhudia kifaa cha ki electronic kwa nchi kama Tanzania kikifnyiwa uharifu ama kujitisha ukipoyeza kifaa chako Katie taarifa police na hapo unakua ushamliz kila kitu mala nyingi hizo kesi nizakubambikiwa hakuna ukweli asilimia 100
 
VERSPOT OFFICIAL

JF-Expert Member
Apr 24, 2015
455
500
Ubaya ni tecno, na ni mediatek. Mtu anaitoa frp ndani ya sekunde 3. Pia kama ni mjeuri anaweza kucheza na imei.

Ila kiujumla ni bora kutoweka lock maana akiiokota mtu anaweza kutumia kwanza na kukupa mwanya wa kuitrack.

Kuna jamaa aliibiwa infix akaipata kupitia find my device sababu haikuwa na screen lock.
Kuhusu mediatek haimaanishi kua simu eti ni dhaifu hiyo chipset inatumika na kampuni nyingi sana za cm ikiwemo Samsung, redimi, oppo, xiaom na zngne nyingi tu je unaweza kutoa frp bila tool maalumu frp ya oppo ama Samsung zenye kuanzia android 10 security patch ya 2021 yaani uka bypass tu kirahisi blia kutumia authentication yeyote kam chimera
 
whiteskunk

JF-Expert Member
Jul 24, 2021
281
500
Kuhusu mediatek haimaanishi kua simu eti ni dhaifu hiyo chipset inatumika na kampuni nyingi sana za cm ikiwemo Samsung, redimi, oppo, xiaom na zngne nyingi tu je unaweza kutoa frp bila tool maalumu frp ya oppo ama Samsung zenye kuanzia android 10 security patch ya 2021 yaani uka bypass tu kirahisi blia kutumia authentication yeyote kam chimera
Mkuu mtk ya tecno na infinix huwezi fananisha na samsung au oppo.

Simu kama xiaomi, huawei na oppo nyingi zinakuja na locked bootloader ila sijawah ona tecno au infinix yenye locked bootloader.

Tecno ata ukiipuliza inatoka frp, infinix ukiiangalia kwa jicho kali inatoka password yenyewe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom