Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je nikiwa sina stika za wiki ya twende kwa usalama na fire extinguisher, ni kosa kisheria?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mkwele, May 20, 2011.

 1. M

  Mkwele JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naomba msaada wenu, nikiwa sina stika za wiki ya twende kwa usalama na fire extinguisher kwenye gari yangu ninakuwa nimevunja sheria?
   
 2. K

  Kacharimbe JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Toa hiyo alama ya kuuliza (?) halafu uisome tena hiyo sentensi yako
   
Loading...