Je, nikitaka kupakua Tigo pesa App ni lazima niwe natumia internet ya Tigo?

Kuna siku nilijaribu kuidownload na kuinstall ikaja kunambia kuwa nihakikishe kuwa line ya tgo ndo iwe line namba moja kwny simu yangu ya line2 of which line1 natumia line ya mtandao mwingine ambao intanet yake inaridhisha kuliko ya tgo! Ndo nikaishia hapohapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majibu yote hayapo mbali na ukweli. Kudownload, unaweza kwa kutumia internet yeyote. Ila kufanya usajili kwa mara ya kwanza, inatakiwa ile line yako ya tigo iliyosajiliwa kwa tigo pesa ndio iwe inatumika kwa internet na iwe hewani. Baada ya hapo nafikiri unaweza kutumia hata kama utatumia internet nyingine. (Hiyo ipo kwa M-pesa, sijui kama kwa tigo pesa nayo ipo hivyo.)
 
Back
Top Bottom