Je nikirisit itanisaidia kupata mkopo?

thA goD

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
1,941
1,843
Habari za weekend ndugu.

Nahitaji kurisit mtihani wa kidato cha sita mwaka 2019 na nilishamaliza mwaka 2016 with division 3 point 15, ushauri wenu ni kujua.

Je itanisaidia mimi kupata mkopo pindi nitakapopasua vizuri?
Natanguliza shukrani kwa michango yenu.
 
Luis shika kesho atakuwa na Jesca bunju mwambieni baba jesca
 
Kupata mkopo ni ibada ,,omba sana heslb watu wa ajabu .....watu vyuoni uku kila MTU analia kilio chakee..hata kama ni yatima una vigezo unaweza shangaa unakosa...chakufanya faulu vizuri jaza form zako za mkopo vizuri na kwa umakin wa hali ya juu ,,weka taarifa zako vizur ,ambatanisha viambatanisho kama wanavotaka ,,,sali,funga na kuomba mpaka majna yatakapotoka,,,mkopo ni kama bahati Luna watu wamesoma private na wamepata mia,,unakuta watu weng wanavigezo ila budget ya nchi inabana ,,,laaa sivyo utakuja kilia bila kupigwa ,,,hutaamin...
 
Kwa nn usiende diploma? Mkopo ni bahati mkuu. Omba sana. Ila mm advance skushaur sababu naona utateseka sana halafu hauna uhakka wa kufaulu. Piga diploma halaf utajitafutia ajira au kujiajr miaka 1 au 2 then unaenda degree. Unaapply mkopo.. Au diploma kwa waliofeli ucwe na concept hyo
 
Kupata mkopo ni ibada ,,omba sana heslb watu wa ajabu .....watu vyuoni uku kila MTU analia kilio chakee..hata kama ni yatima una vigezo unaweza shangaa unakosa...chakufanya faulu vizuri jaza form zako za mkopo vizuri na kwa umakin wa hali ya juu ,,weka taarifa zako vizur ,ambatanisha viambatanisho kama wanavotaka ,,,sali,funga na kuomba mpaka majna yatakapotoka,,,mkopo ni kama bahati Luna watu wamesoma private na wamepata mia,,unakuta watu weng wanavigezo ila budget ya nchi inabana ,,,laaa sivyo utakuja kilia bila kupigwa ,,,hutaamin...
Nimekuelewa vizuri mkuu,ila kigugumizi ni hiki hapa,
Nimaliza Olevel 2013,advance 2016 na nimeamua kurisit nifanye tena paper 2019 ili ninihakikishie kupasua,
Na pale kwenye criteria za loan board zimenitisha kidogo labda ni uelewa finyu wangu pengne kwamb its eligible for 3years within ACSE graduate nikawa sijaelewa vizuri mkuu pengine nitakuwa nje ya mstari au?
Msaada kwa yeyote mwenye uelewa wa hili tafadahali.
9dc8b78dd161cc57e1c8a9bfe762e09b.jpg
 
Back
Top Bottom