- Thread starter
- #101
uwiiiUmemshauri vizuri sana! Issue hapo ni kuuteka moyo wa mama tu! Akiweza basi mama atampenda kuliko hata kijana wake! Wanaume wenyewe sisi tuliobaki mpaka tujibust na Moo energy ndo bamia inashtuka! Ampambanie mwanaume wake wa kweli! Mambo mazuri hayaji kirahisi tu, she has to sacrifice!