Je, nikimuacha nitakuwa nakosea?

new gal

JF-Expert Member
May 4, 2021
729
1,000
Umemshauri vizuri sana! Issue hapo ni kuuteka moyo wa mama tu! Akiweza basi mama atampenda kuliko hata kijana wake! Wanaume wenyewe sisi tuliobaki mpaka tujibust na Moo energy ndo bamia inashtuka! Ampambanie mwanaume wake wa kweli! Mambo mazuri hayaji kirahisi tu, she has to sacrifice!
uwiii
 
ANKOJEI

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
998
2,000
ndio huwa inakuwa hivyo mamkwe wa hivyo mwisho atuandoka umwache yeye na mwanae, huyo kijana jifunge kiume mwambie wasiwasi wako ili uone kama anaona hisia zako au ana-ignore, kama ana-ignore jua huyo bado hajakomaa/hana-expirience au hataki kuchukua tahadhari. Sisi wakristo husema mme huwa na mke mmoja tu na si vinginevyo.
 
Mgibeon

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
10,443
2,000
Pambana mama! Tukisema kila mtu aweke "mambo ya mamamkwe wake hapa" ili tubadilishane kila mtu akimbilie anapoona pana unafuu, trust me 90% tutarudi kwa mamawakwe wale wale! Maana utamtazamaaaa mama mkwe mpya utaona hapana bora zimwi likujualo!

Mwisho Wa siku kumbuka kuanzisha uhusiano mpya ni kazi na gharama kubwa! Yaani hapo formula ni Moja tu! Mmwagie mamaake moyo wako wooote! Ukiweza hilo amini amini utakua mwanamke mwenye raha kuliko wanawake wote chini ya jua!
 
Nashukuru sana
 
Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
16,896
2,000
Umemshauri vizuri sana! Issue hapo ni kuuteka moyo wa mama tu! Akiweza basi mama atampenda kuliko hata kijana wake! Wanaume wenyewe sisi tuliobaki mpaka tujibust na Moo energy ndo bamia inashtuka! Ampambanie mwanaume wake wa kweli! Mambo mazuri hayaji kirahisi tu, she has to sacrifice!
There is a price to pay and it is certainly not hefty.
 
Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
16,896
2,000
Ooooooooh, bila samahani Mkuu! Asante kwa kunitafunia! By the way ni kweli new gal anatakiwa ajue kua kila Tamu ina chungu yake!
Akisubiria apate a perfect man, a perfect mother in law a perfect life atafeli mno.

Ujana usimdanganye akajiona bado mdogo wanaume wapo.

Hapo hapo alipo abonyeze hand break avute juu.
 
Linko

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
2,411
2,000
Habari wadau, ama kweli yakikufika huna namna utazungumza tu. Mwenzenu yamenifika shingoni na sijui kama nikichukua maamuzi ya kumuacha nitakua nakosea au lah.

Nikiri katika mahusiano yote niliyopitia sijawahi kuwa na mwanaume anayenifanya nijisikie furaha kama huyu kaka.Uhusiano wetu una mwaka sasa. Ni mkaka anayepambana sana, anajali, anahudumia pale anapoweza na kule 6*6 ndo usiseme. Hamna kitu ananificha. In short he is a man in every woman's dream mpaka nikawa naogopa kumpoteza bwana.

Mbembe ikaja baada ya kunitambulisha kwa mama yake mzazi (Eh Mungu). Mama alinipokea vizuri tu lakini siku ya kwanza tu akaniambia ukija niletee bia, mtoto wa kike nikapeleka. Baada ya hapo kila nikiona simu ya yule mama yeye ni kutaka hela tu kwangu. Nikajiuliza ni kisa kaniona na gari au ni nini?

On top of that mama yake hatak apange, kashikilia akae nyumbani eti asiharibu hela kwa kulipa kodi. Mshahara wake wote unatumika kwenye matumizi ya nyumbani, kama anabakiza ni kiasi kdg sana. Sasa kutokana na ukaribu huo kati yao naogopa hata kumshauri asije ona nawaingilia maisha yao.

Napata hofu kuwa ntakua adui kwa yule mama, maana akibadilika kimatumizi ataona mimi ndo kisababishi. Jamaa anapanga mipango ya ndoa lakini naogopa sana kuingia kwenye ile familia. Maana hata akiongea nae kwenye simu akiomba hela akimwambia hana anamwambia ahakikishe anaipata anampa na kijana anafanya hivyo.

Je, nikimuacha huyu kijana mapema nitakuwa nakosea?
kosa sio jamaa kosa liko kwa mama kama jamaa mna elewana naomba kaa chini jaribu kuongea na na muelezee juu ya mama yake mzazi naona inaweza saidi zaidi kuliko kuwa na mawazo na maumivuuu....

ka story yako tu mimi nimeona mamam ni kero
 
Mgibeon

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
10,443
2,000
Akisubiria apate a perfect man, a perfect mother in law a perfect life atafeli mno.

Ujana usimdanganye akajiona bado mdogo wanaume wapo.

Hapo hapo alipo abonyeze hand break avute juu.
Naaam! Hawezi kupata mahusiano yaliyo perfect kote! Hua nawashauri vijana wanaotaka kuoa kua ukiona mwenzio angalau anamazuri 60% basi chukua oa!
 
Mgibeon

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
10,443
2,000
kosa sio jamaa kosa liko kwa mama kama jamaa mna elewana naomba kaa chini jaribu kuongea na na muelezee juu ya mama yake mzazi naona inaweza saidi zaidi kuliko kuwa na mawazo na maumivuuu....

ka story yako tu mimi nimeona mamam ni kero
Mkuu hiyo Avator yako inanyegesha mno!

Tusimuhukumu Mama tu! Hatujui kama alihangaika vipi kumfikisha kijana wake hapo alipo!
 
swahib sinjo

JF-Expert Member
Nov 19, 2012
282
250
Habari wadau, ama kweli yakikufika huna namna utazungumza tu. Mwenzenu yamenifika shingoni na sijui kama nikichukua maamuzi ya kumuacha nitakua nakosea au lah.

Nikiri katika mahusiano yote niliyopitia sijawahi kuwa na mwanaume anayenifanya nijisikie furaha kama huyu kaka.Uhusiano wetu una mwaka sasa. Ni mkaka anayepambana sana, anajali, anahudumia pale anapoweza na kule 6*6 ndo usiseme. Hamna kitu ananificha. In short he is a man in every woman's dream mpaka nikawa naogopa kumpoteza bwana.

Mbembe ikaja baada ya kunitambulisha kwa mama yake mzazi (Eh Mungu). Mama alinipokea vizuri tu lakini siku ya kwanza tu akaniambia ukija niletee bia, mtoto wa kike nikapeleka. Baada ya hapo kila nikiona simu ya yule mama yeye ni kutaka hela tu kwangu. Nikajiuliza ni kisa kaniona na gari au ni nini?

On top of that mama yake hatak apange, kashikilia akae nyumbani eti asiharibu hela kwa kulipa kodi. Mshahara wake wote unatumika kwenye matumizi ya nyumbani, kama anabakiza ni kiasi kdg sana. Sasa kutokana na ukaribu huo kati yao naogopa hata kumshauri asije ona nawaingilia maisha yao.

Napata hofu kuwa ntakua adui kwa yule mama, maana akibadilika kimatumizi ataona mimi ndo kisababishi. Jamaa anapanga mipango ya ndoa lakini naogopa sana kuingia kwenye ile familia. Maana hata akiongea nae kwenye simu akiomba hela akimwambia hana anamwambia ahakikishe anaipata anampa na kijana anafanya hivyo.

Je, nikimuacha huyu kijana mapema nitakuwa nakosea?
Sio sahihi kumuacha mwanaume (utakuwa umemuonea) maana hapo kosa ni la mama mkwe na sio mwanaume hivyo unapaswa kuongea nae kwanza ila kikubwa msisitize sana kuhusu umuhimu wa nyinyi kupanga ili muanze kujiandaa na maisha yenu kama familia, jaribu kuongea nae zaidi ya mara mbili tatu katika lugha ambazo hatoona kama unataka amtelekeze mama yake!!!
 
kiwatengu

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
16,184
2,000
hata dada anatatizo moja kufanya mapenzi na mtu ambaye hawajafunga ndoa pili kuna element ya ubinafsi kuombwa hela akachanganya eti kwa kuwa ana "gari'
Na ameanza kulalamika mapema sana, je ataweza kumtunza huyo Mama akiwa mzee? Ikiwa ni pamoja na kumpatia huduma muhimu pale atakapokuwa hawezi kabisa?
 
mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
9,326
2,000
Ebu angalia mfano wangu huu: Je unaonaje ni kheri kuondoka kimya kimya uyu bwana ako asijue sababu ya kukuondoa kimya kimya au ni kheri uondoke na uku ukiwa umejua ya kwamba umemshauri ila kwa upande wake umeona imeshindikana na ata ukiondoka anajua umeondokana kwa kuwa kuna mambo umeona uko mbele hayata enda, nina mfano kama wako copy and paste,,, njoo pm nikusimulie na nikupe mkanda ilivyo kuwa.
Tiririka hapa nini pm sijui mp acha hizo
 
Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
16,896
2,000
kosa sio jamaa kosa liko kwa mama kama jamaa mna elewana naomba kaa chini jaribu kuongea na na muelezee juu ya mama yake mzazi naona inaweza saidi zaidi kuliko kuwa na mawazo na maumivuuu....

ka story yako tu mimi nimeona mamam ni kero
Mama hawezi kuwa kero please!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom