Je, nikimnunulia chupi ya Tsh. 232,602.50/- atazidisha mapenzi?

Mpe fursa achague anachotaka kwenye hiyo website.

Wewe umependa hicho kivazi, bali yeye aweza penda saa, au aweza penda Lip Gloss, au rangi za kucha, huwezi jua nini kitafurahisha nafsi yake, hawa dada zetu wana vitu vyao wanavyopenda.

Rangi za kucha
View attachment 2024725

Lip Gloss
View attachment 2024726


Bangle Bracelet
View attachment 2024727

Kiufupi anaweza chagua kitu ambacho hata hukufikiria, hivyo utakuwa umejifunza jambo
Kumbe nyie ndo mnahamasisha wapenzi wetu wabandike kucha na kujipaka hayo madude usoni? Mshindwe mtetemeke muanguke chini kwa jina la Yesu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom