Je, nifanyaje ili nipate mtoto wa kufanana na mimi?

Shy land

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
6,024
1,959
Kwaza kabisa nigaependa kuwasalimu wote wapenzi wa jukwaa hili.

Ni kipindi kirefu sana hatukutani humu, lakini hii ilitokana na mimi kuingia katika majukumu ya kiume; nilifanikiwa kupata mke na Mungu akabariki nikapata watoto wawili mapacha, na sasa ninaye wa tatu.

Majukumu na aina ya mfumo niliotumia kusaka hela ulinyima kabisa airtime ya kuwatembelea. Shemeji yangu kantwe, masai dada na Heaven Sent sijuu nitawapata.

Nikurundi kwenye maada,

Naombeni kwa anayejua mbinu au namna ya kufanya ili nipate mtoto anayefanana na mimi maana nimepata watoto watatu wote wanafanana na mama yao tu.
 
Wakati mwalimu wa biology anafundisha topic ya Genetic ulikua unajificha wapi?
 
Kuna namna nawazaga inaweza sababisha hiyo!!! ni mawazo yangu lakini, sijaambiwa wala kusoma popote. Ni PM nishee nawe ninachowaza!!!
 
Kama kuna Dada wa kazi "beki 3" mpige mashne abebe Mimba.. Alaf ikatae hyo Mimba.. Subiri mtoto azaliwe.. Uone nini maana ya Copy and Paste!
 
Badala ushukuru hata hao wanaofanana na mama yao sisi wengine sijui hizi sura ni za wapi ila tunakomaa nao tu
 
Anza na hao 3 uliobarikiwa pima DNA nao kwanza, ukisha pata majibu njoo hapa tena nikupe ushauri. Bila shaka utanishukuru baadae.
 
Back
Top Bottom