U said it right.Vigezo ni vingi sana vya kuzingatia, kabla hujaanza kupata ushauri fanya kazi hii kidogo.
Chukua karatasi 2 moja andika IST nyingine andika WISH...
U said it right.
Kwa kuongezea tu, kama ni mtu wa familia ama unatarajia kuwa na familia hivi karibuni...
Hivi, hivyo vipimo vya Km kwa lita moja ni ukiwa unatumia AC au bila AC?
Je, gari ikiwa na cc tajwa na ikawa inatumia km chache kwa lita shida inakuwa ni nini?
Mfano hapo cc 1,800 makadirio ni km 14/L, badala yake cc hizohizo zinaenda km 8/L tatizo linakuwa ni nini?
Ukiwa unatumia AcHivi, hivyo vipimo vya Km kwa lita moja ni ukiwa unatumia AC au bila AC?
Je, gari ikiwa na cc tajwa na ikawa inatumia km chache kwa lita shida inakuwa ni nini?
Mfano hapo cc 1,800 makadirio ni km 14/L, badala yake cc hizohizo zinaenda km 8/L tatizo linakuwa ni nini?
Ukiwa unatumia Ac
Kuna factors nyingi zinachangia. Moja kubwa na ya muhimu ni 'power' ya gari husika.
Suala la gar kula mafuta ukiwasha ac kama unatembea haili kipimo ni kilw kile tu hakipunguzi km ac inakula mafute kwenye folen coz silence inakua inapanda na kushuka kwa ajili ya kusukuma compresor ya ac hii suala la ac linaongeza matumizi ya mafuta safarini ni uongo mkubwa all of the all chukua ist ipo nzur imara na hata family ndogo inafaa hata suala la parking haisumbui wish kwa matumizi ya family si mbayaHivi, hivyo vipimo vya Km kwa lita moja ni ukiwa unatumia AC au bila AC?...
Hapo maana yake gari inatumia mafuta Mengi kuliko kawaida.Hivi, hivyo vipimo vya Km kwa lita moja ni ukiwa unatumia AC au bila AC?
Je, gari ikiwa na cc tajwa na ikawa inatumia km chache kwa lita shida inakuwa ni nini?
Mfano hapo cc 1,800 makadirio ni km 14/L, badala yake cc hizohizo zinaenda km 8/L tatizo linakuwa ni nini?
Limekaa ki mayai mayai sana , alafu umbo la mbele ni Kama sura ya kenge au mamba Bora achukue ipsum kuliko wish.wish nying zimepondeka mbele kwa sabb ziko chini sana.Wish sijawahi lielewa kabisa
Hamna 1ZZ-FE ya kwenda 14km/l labda hizi zenye mfumo wa Valvematic ambazo zinaitwa 2ZR-FE pengine. Ila wishi Old ikiwa kwenye ubora wake Highway itakupa 12.4KM/L ...towntrips inakupa 8.8KM/L.Hivi, hivyo vipimo vya Km kwa lita moja ni ukiwa unatumia AC au bila AC?..
Wish mpya ni kali wewe huwezi fananisha na wish za ki Old model!Limekaa ki mayai mayai sana , alafu umbo la mbele ni Kama sura ya kenge au mamba Bora achukue ipsum kuliko wish.wish nying zimepondeka mbele kwa sabb ziko chini sana.
TrueeIST kama kitoto cha kitimoto!