Je, ni watu Gani Maarufu walioharibu fani zao au Maisha yao kwasababu Ya uzembe

Winnie Mandela.
Abubakar Mzuri
MakondaKTA
Humprey.
Bernard.
Manyika Peter.
DART
Mamamdogo wa le binadamu
Peter Tosh
Jermain Pennant
David Moyes.
Carlos Tevez.
Mario Suge Knight.
 
Z anto, ushamba wa Papuchi uliharibu maisha yake ya Muziki mapema sana baada ya kumuoa yule liwazo la wauza ngada TZ
 
WANAUME FAMILY..mapanga shaa, baada ya kujitenga kundi la Juma nature na Said fella.

WAKALI KWANZA..joslin, qjay na makamua walikuwa na nafasi nzuri ya kufanya mapinduzi ya bongofleva ndani ya Afrika mashariki.

ZANZIBAR STARS..kwenye Taarab kabla hajaondoka mzee Yusuph, Joha kassim, Mosi suleiman, zena, nk

TNG SQUARD..baada ya kutoa nyimbo safi bongo.com kundi likavunjika wakabaki wawili mwisho wakapotea mazima.

2BERRY..berry black na berry white walikuwa na nyimbo zao nzuri sana walipokuwa pamoja kama nakupenda, mimi nataka kuwa nawe

Ray C na Daz Baba wasingetumia madawa ya kulevya, tunawamiss sana kwenye game la music
Na offside trick mkuu, muziki wa mwambao ulianza kupenya vizuri kwenye bongo flavour
 
20 alimdharau man maji..baada ya Ku shine..akawa anamckliza afande huku wakburudka na majani...
1481489646893.png
1481489676256.jpg
 
Back
Top Bottom