Je ni wasaliti ama mashujaa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni wasaliti ama mashujaa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiranja Mkuu, Apr 12, 2011.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wanao ukana uraia wa Tanzania kwa sababu mbalimbali ukiwemo utawala mbovu, dhiki, maradhi na uchumi duni tuwaiteje watu hawa, je ni wasaliti au mashujaa?
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Watu wanawakana wazazi wao, nini uraia besti?
  Hao si wasaliti wala mashujaa, ni kwamba wameitumia haki yao ya msingi ya kuchagua
   
Loading...