AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,536
- 4,513
Sasa hao bakwata wanaishikilia ya nini ndoa. ..?Mkuu sio kwa age yake huyo Dada, ,hapo ni jioni tayari...ameshahangaika sn tu,,bila mafanikio,,ndy analeta kauli hizo...hakuna asiyetaka mtoto mkuu,,,wapo watu wana kila kitu lakini wanaumia sn sababu hawana watoto,,,hivi u wanaume wako upo wapi kama huwezi kudunga mwanamke mimba?hivi uanamke wako upo wapi kama huwezi kufunga mimba?hicho kitu kinawaumiza sn mkuu.,..nikupe mfano mmoja,,,yupo Dada Fulani kaozesha mwanawe kwa jamaa Fulani anapesa zake,,,huu ni mwaka wa kumi na tano jamaa hajapata mtoto,,,wamekwenda kupima hospital kaonekana mume ndy ana matatizo ya uzazi..sasa tabu inakuja mke anataka mtoto,,mume anamwambiya tuishi kwa kulea watoto wa watu,,,mwishowe mama Mkwe akamshawishi mwanae wa kike adai talaka,,,ili aachwe ,,akaolewe pengine aweze kuzaa,,,kesi ipo bakwata,,jamaa hatoi talaka,,,mke kaamua kuacha kila kitu kwa mumewe nyumba,,magari kaacha sababu tu,,na yeye aitwe mama,,,kwahyo mkuu Mimi siamini kama kuna watu hawataki watoto,,,unaweza usihitaji mtoto kwa kipindi Fulani cha maisha,,,lakini sio kuanzia miaka 35 useme sihitaji mtoto,,ni kauli ya kuangaliwa kwa jicho la tatu... Kwa kifupi ni kauli ya kukata tamaa
Au kwa sababu ni matajiri... Waivunje hiyo ndoa...
Mbona yajuzu mwanamke kuomba talaka kama anahitaji kupata mtoto...
Huyo mwanaume alazimishwe amuache huyo mwanamke... Ingekuwa tatizo lipo kwa mwanamke si angetafuta mke mwingine.. .
Kuna watu wanawadhulumu wanawake huku wanashuhudia.