Je, ni wangapi kati yetu?!

Amyner

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
2,397
877
Je, ni wangapi kati yetu tupo kwenye ajira tunazozipenda kwa dhati? Au ndio hivyo inabidi tu kwenda kazini, kufanya kazi ambazo pengine hauzipendi sana (unakuta unalalamika kila siku lakini bado upo) since its your only way to survive?!
 
kwa kweli tupo wengi......ulichosoma sicho unachokifanya....huo ndio ukweli.....
 
Unaona kazi ya Mwenzako Ndio bora.

Ukweli ni kwamba wengi tunachukia kazi zetu tunatamani kazi wanazofanya wengine.

Its just a circle in life.

yaani HR manager anatamani Bora Angekua Senior accountant na Senior accountant anatamani Bora angekua HR manager.

Ndio maana we dont Perform better in our roles
 
kazi mbaya ukiwa nayo, ukiwa huna kazi, kazi yeyote ni nzuri, uliza wasiokuwa nayo watakwambia, na ukitaka kujua uzuri wa kazi acha kazi uone ilivyokazi kupata kazi, inawezekana hufurahii na huipendi kazi uliyonayo lakini ifanye kwa bidii ukiwa na malengo ya kuja kujiajiri mana hapo utaipenda mana itakuwa yakwako, binadamu sikuzote huwa haturidhiki huwa tukipata tunahitaji zaidi na zaidi
 
Dah ni kweli,hii yote kwasababu huna jinsi ila ni kupata chochote.
 
Unaona kazi ya Mwenzako Ndio bora.

Ukweli ni kwamba wengi tunachukia kazi zetu tunatamani kazi wanazofanya wengine.

Its just a circle in life.

yaani HR manager anatamani Bora Angekua Senior accountant na Senior accountant anatamani Bora angekua HR manager.

Ndio maana we dont Perform better in our roles

you are so right mlachake. Mi nadhani career guidance tangu level ya ordinary, ni muhimu sana.
 
you are so right mlachake. Mi nadhani career guidance tangu level ya ordinary, ni muhimu sana.

Siku hizi people dont just follow their passion. Yaani mtu hasomei udaktari kwasababu anapenda kuwa daktari lakini anasomea udaktari kwasababu Anaweza kupata kazi mapema.
 
Siku hizi people dont just follow their passion. Yaani mtu hasomei udaktari kwasababu anapenda kuwa daktari lakini anasomea udaktari kwasababu Anaweza kupata kazi mapema.
Na kupata mkopo 100% basi.Baada ya hapo hakuna kitu anachofanya ni bla bla tu
 
Unaona kazi ya Mwenzako Ndio bora.

Ukweli ni kwamba wengi tunachukia kazi zetu tunatamani kazi wanazofanya wengine.

Its just a circle in life.

yaani HR manager anatamani Bora Angekua Senior accountant na Senior accountant anatamani Bora angekua HR manager.

Ndio maana we dont Perform better in our roles

Juzi nilikuwa TRA kufuatilia mchakato wa leseni mpya....
Foleni ilikuwa ndefu sana,
Huo mda wafanyakazi wale wa TRA wametoka lunch lakini yule binti,
Aliyekuwa anatuhudumia akapitiliza na kuanza tena kukoroga chai huku anapiga domo!
Hasira niliyokuwa nayo ikanikumbusha hiyo "red" Statement... ndio maana na mimi nilikuwa nmetoroka kazini kwangu
 
Ajira hizi ni km ndoa, waliomo wanataka toka, walio nje wanataka ingia..............
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom