Je ni wakati gani hasa unafaa kufundishana mautundu ktk majamboz?

mito

JF-Expert Member
Jun 20, 2011
10,513
10,404
Jamani kufuatia mada ya after-sex mistakes naona ipo haja ya kujadili upi ni muda muwafaka wa kurekebishana kasoro zetu ktk majamboz. Mfano umemaliza kuduu na mwenzi wako, lakini baada ya kumaliza game ukagundua kuna mavituzi pengine ungependa yaboreshwe au ayaongeze ktk package yenu ya majamboz. Je, utamwambia/utamfundisha after game yaani baada tu ya kuwa mmemaliza mchezo? au mtakapoanza round nyingine? au siku nyingine kabla ya game? au siku yo yote ambayo hamko ktk game? yaani ni wakati gani hasa wewe ungependa mwenzio akurekebishe?
 
baada ya sex,sio wakati sahihi wa kujadili mambo mengi, bali ni muda wa kutulia na kusikilizia mmalizio wa tendo hilo.Hivyo ni vema wanandoa watafute muda mzuri preferably ambao sio wakati wa sex na kudiscuss mapungufu hayo na hata kupongezana. Bali kama ni mambo yanayohitaji maelezo kwa vitendo, yanaweza kujadiliwa hata kufanywa wakati hata baada ya tendo la ndoa.
 
muda mwafaka wakati wa tendo na unatakiwa kuonyesha nin ulichonacho kwa kumweleza mwenzako kwa matendo na c kujadili nini mtafanya. but baada ya tendo maongez ni kuhusu nin mlichofanya hasa kipya au kilichokupendeza usifie. pia unapoanzisha utundu mpya hata kama kashndwa kuhimili sifia hii inamuondolea uoga na kumfanya kujiamin na hata kuwa na mchango zaidi.
 
itapendeza kama mtafanya baadhi ya sessions kuwa za fun tu (siyo full-blown sexual encounter kivile) na kila mtu kuleta utundu utundu wake while keeping the whole thing simple and unprocedural... in the process mnaweza kuelekezana vitu kadhaa (even kutiGolize kidogo kidogo) with a light touch teh teh teh...
 
Back
Top Bottom